Posts

Showing posts from May, 2020

GOOD NIGHT WISHES SMS

Image
Y Do V Close Our Eyes? Wen V Pray Wen V Cry Wen V Dream Bcoz The Most Beautiful Things In Life R Unseen & Felt Only By HEART.. Good Night Evry Tym Sàme Wishes/Greetings Iàm Bord ! Lét It B Dfrnt Dis Tym ! Lét Devils Guàrd U Mumis Dànce Around U Vmpires Kiss U Hv A Horibl Ni8 Ghost Ni8 ... 4 À Nice Frnd Nice Ni8 4 À Sweet Frnd Sweet Ni8 4 À Lòving Frnd Lòvely Ni8 4 À Heartly Frnd Heartly Ni8 4 À GòóD Frnd "GòóD Ni8 Wen éyes struggle 2 rémain open; When mind shuts off completely; It's a signal to renéw ur energy; By sleéping and dréaming. Gòód Night!! N Swéét Dreams!

SMS YA KUWMASHI USIKU MWE

Image
bbb Hø Gy¡ Ha¡ Ab Tø Blck Blck "N¡GHT", Ab Bnd Bh¡ Kr Dø Wh¡te Wh¡te "L¡GHT", Swéèt Swéèt Sapnø K¡ Pkr lø "FL¡GHT". Øk ! My Dear GøøD Night

sms za usiku mwema

Image
À spec¡ál facé, À spec¡ál smilé, À spec¡ál someoné, À spec¡ál hug from mé 2 u, À spec¡ál person, Ì found in u, Swéét dreams and GøøD night

Sms tamu kwa mpenzi wako

Image
  I wanna love you forever. Thousands lifetimes together. The moment that I saw your face and grace. Felt the fire of your sweet embrace. I wanna know what makes you laugh. I wanna know what makes you sad. I wanna see all your tattoos. I wanna know what turns you on. Reveal yourself to me. Share all your secrets. Open up your heart and let me in. Pour yourself all over me And I'll cherish every drop. I swear, I adore you forever.

mtumie mpenzi wako sms hizi ili kuboresha mapenzi yenu

Image
I hope dat u finally undrstand,dat I will luv u until d end,bcoz ur not just my girl,u r also my best frnd! Kisi ne god se kaha I HATE LIFE god replied: tumhe kisne kaha life se pyar karo tum bas use chaho jo tumhe chahta ho life apne aap khubsurt ho jayegi... A candle may melt and its fire may die, but the love you have given me will always stay as a flame in my heart. "Where there is great love, there are always miracles." - Willa Sibert Cather I ______U (Trust, Care, Share, Miss, Adore, Kiss, Hug,) bcoz I ______U. ( Love, Like) Fill in the blank's send to me I Lyk Evry1 Bt I Luv 1ly 1 I Lyk 4 Evry1 Bt I Breath 4 1ly 1 I Talk 2 Evry1 Bt I Share Evrything 2 1ly 1 I Smile Wid Evry1 Bt Smile Is 4 1ly 1 I M 4 Evry1 Bt I Belong 2 1ly 1 N Dat 1 Is 1ly U you can show love 2 everyone but u can show anger to only who is close 2 U, so "anger" is always higher "love"..

TUNZA UUME UHESHIMIKE

Uume imara ni heshima kwa mwanume na furaha ya mwanamke, bila uume huwi mwanaume. Uume ndio kiungo muhimu katika mwili wa mwanaume. Ndio mana mtoto akizaliwa mama na manesi kwa haraka huchungulia kuona ni wa kike au wa kiume? Uume hutambulisha nasaba za ndani zilizopo ndani ya mwili wa mwanaume. Lakini tangu zama za Adamu hasa baada ya gharika kuu wakati wa Sodama na Gomora mwanaume amekuwa anatumia uume wake vibaya hadi kupelekea uume kuwa goigoi na legelege na hatimaye kushindwa kutimiza majukumu yake ya awali. Tangu awali uume uliundwa na Mungu ili uyatimize kikamilifu mambo yafuatayo. (1) kutumika katika kuzalisha (reproduction) (2) kustarehesha (3) kusafisha mwili na uchafu (chumvi na sumu mbalimbali) na pia (4) kutumika kama utambulisho (identity) Uume bora ni ule wenye uwezo wa kufanya shughuli zote yani kuzalisha, kuondoa sumu mwilini na kustarehesha bila usumbufu wala maumivu. Uume bora huwa imara ukiwa katika majukumu yake na kuweza kutimiza malengo yaliyokusudiwa. Chakula bo...

UMESOMA HADITHI NYINGI ZA MAPENZI, LAKINI HII ITAKUSISIMUA KULIKO ZOTE, UTATUMIA DAKIKA 2 KUSOMA LAKINI...

Image
1st year nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na n ilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita.baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.I wanted to tell her,i want her to know that i don't want us to be just friends,i love her but i'm just to shy,and i don't know why 2nd year Simu yangu iliita,kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart,she asked me to come over because she didn't want to be alone,kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as i sat next to her on the sofa,nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu.Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili...

Fahamu Vitu Hivi Mwanaume Anavyokupima Kujua Unafaa Kuolewa Au Ni Hit And Run

Image
1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa tu, so wewe ujiongeze. 2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo. Anakutest aone kama utasema "Acha baby, ntakufulia mpenzi wangu". 3. Ukikuta kwake amefanya shopping ya vyakula vya kupika kama unga, mchele, na vingine halafu akakwambia mwende ule mgahawa fulani mkapate dinner usidhani eti ana hela kibao ya kutumia! Anakutest aone kama utamwambia mbaki kwake mpike mle. Uko chumba cha mtihani! 4. Siku kakuahidi kukutoa out halafu unafika kwake unakuta kajikunyata kama mgonjwa anakwambia mama ake kapiga simu anaumwa anaomba atumiwe hela. Halafu anakwambia hela aliyo nayo na ukipiga mahesabu unaona ni kama ile ya kutumia mkiwa out. Anakuomba ushauri afanyaje. Wewe unamwambia "Baby twende out, suala la mama nina uhakika kaka zako na dada zako watalishughulikia, atawapig...

KABLA HUJALALA MTUMIE MSG HIZI

Image
Najiuliza kila Leo hivi ni Mimi tu kimeo katika dunia hii yaleo maana kila Leo ninaye mpata haishi kunipa ahadi kila Leo mpenzi kila siku waniahidi mala nitakupa Leo mala kabla ya mchweo hivi ni lini utanipa jibu la uhakika na kunipa mapenzi ya uhakika nipate kufarijika akupenda zaidi ya almasi inayochimbwa ardhini sipendi nikupoteze nikajutia moyoni naitaji nikuenzi kama mboni yangu jichoni Moyo unasikitika autoacha daima machozi yatiririka si usiku wala mchana huzuni imenishika kwa vile sijakuona I LOVE YOU BABY ###################### Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKU OMBA USINIACHE MPENZI ###################### wewe ni wapekee ninaye kupenda sifikirii kukusaliti na wala sina wazo La kukutenda nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu ###################### Mapenzi yako asali kwa mwingine sitamani umeniteka akili mpaka najihisi punguwani nakupenda sana ...