Posts

Showing posts from July, 2020

usiku mwema.

Image
 >Nipo dukani nafikria nikununulie zawadi gani kubwa kuliko zote.      >Nimeona “UPENDO” inavutia,    >pembeni nikaona tena “AMANI” inapendeza,                   >sijasogea nikaona “FURAHA” nikacheka nikabeba vyote,                 >nilipotaka kulipa mwenye duka kaniambia “MUNGU” keshanilipia, nami nimevituma kwako naomba uvipokee. Nakutakia ucku mwema!  …………………..  Hongera umezawadiwa safari ya kwenda KULALA  iliyoandaliwa na shirika la USIKU na kudhaminiwa na kampuni ya USINGIZI utapanda gari aina ya KITANDA lenye namba za usajili NJOZI NJEMA ukiwa safarini unashauriwa kufunga mkanda aina ya NETI au SHUKA ili kujikinga na AJALI ya   MALARIA.Pia usikose kupulizia dawa.  …………………… 

FAHAMU MBINU ZA KUMUOMBA MSAMAHA MWENZI WAKO PALE UNAPOMKOSEA.

Image
Marafiki zangu kukosea katika maisha ya binadamu ni kawaida. Ni sehemu ya maisha yake. Tena inaaminika kwamba, kukosea ni kujifunza, maana kosa utakalofanya leo ni funzo la kesho. Hii ipo pia hata katika uhusiano na wapenzi wetu, mara kadha wa kadha tumejikwaa na kuwakosea. Hakuna cha ajabu. Ni kawaida kabisa, lakini jambo la msingi hapo ni kwa namna gani tunajifunza kupitia makosa. Ni kwa jinsi gani tunamaliza tofauti hizo. Maana unaweza kuwa hodari wa kukosea au ukawa bingwa wa kusamehe, lakini wimbo huo ukaendelea kubaki hivyo hivyo kila siku. Lakini pia, wapo ambao kwa bahati mbaya, bila matarajio yao, wanajikuta wakiwa wamewaudhi wapenzi wao. Ni bahati mbaya na yawezekana kabisa wanaumia sana mioyoni mwao, lakini wakashindwa jinsi ya kumaliza ‘bifu’ hilo katika penzi lake. Siku zote mkosewa hukosa raha, hupoteza hamu ya kukutana na mpenzi wake lakini kubwa zaidi, hujishusha/hukushusha thamani ya mapenzi yake kwako. Lakini mkosewa huyo huyo, akioneshwa kwamba makosa yaliyofanyika h...

Apology SMS for girlfriend: Text messages to ask for forgiveness.

Image
I thought our RELATIONSHIP was immune to all of life’s diseases until a virus called LIES made it sick. I am going to use a regular doze of medicine which includes APOLOGIES, HUGS and KISSES to make it feel better.  I am sorry. I am not saying sorry just because I understand the difference between right and wrong. I am saying sorry also because our relationship is more important to me than my ego. I love you. Regret, heartbreak and sadness, have stolen my life’s happiness. I am sorry for letting you down, but I promise to erase your frowns. xoxo

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI ULIEMKOSEA.

Image
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Mimi kwako ni kipofu, nishike mkono tuvuke barabara, magari ni mengi na yanapita kwa kasi, siwezi kuona zaidi ya kusikia yakiunguruma, honi za magari siwezi kupima umbali wake, usiniache katikati ya barabara nitagongwa na kufa mara moja! Njoo niokoe nitagongwa mpenzi wangu! Forgive me dear... •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!

NIMEKUMISI MPENZI WANGU

Image
 Kama mimi ni mfalme katika himaya yangu, basi himaya yangu haiwezi kukamilika kama wewe                        hautakuwa kando yangu kama malkia.  Kama ningepewa nguvu za kuweza kurudisha kumbukumbu za awali, basi ningerudisha hadi ile siku ya           kwanza nilipokuangalia machoni na nikakuangukia kwa kukupenda. Nakupenda mpenzi wangu.  Nilikuwa nakumiss hivyo nikaanza kuhisabu nyota ili niweze kutaja sababu zote ambazo zinanifanya           nikumiss. Cha kushangaza nikuwa nimehisabu nyota zote nikamaliza lakini bado sababu  niko nazo.

Sms nzuri za mchana mwema.

Image
(‘-‘) Unatabasamu (!.!) Unalia (‘;’) Una hasira (‘:’) Kuna mtu amekuboa (‘.’) Unajivunia (‘o’) Una hasira (‘?’) Umechanganyikiwa (-.-) Unasikia usngz Napenda kukupa company ukiwa vyovyote Mchana mwema. Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiyaangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo ndani yake na kulila TUNDA lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ulie uteka moyo wangu. nakupenda laaziz •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

SMS ZA MAHABA KAMA YOTE.

Image
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°* “Umbali si shari ila kujua hali ni mali”, “jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”, “japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali” I LOVE U ………………………………. Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,, STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2, SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX . Nafikir ushamjua kwan shep yake ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!! Chezea

SMS ZA MAHABA MAZITO.

Image
Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboni yangu,najcfu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea kutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu na karaha za huu ulimwengu .nakupnd dr . . . × × × . . . . Hivi ni lini utanipa nipate farijika mpenzi nimechoka na hadithi kila siku unazonipa ipo siku penzi utanipa, mwenzio nataabika na hamu iliyotukuka, nitafurahi ukinipa nipate liwazika, naomba uhakika kama kweli wikiendi utanipa, Nakupenda  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• . Mahaba unayonipa hakika nafarijika, mpenzi niliyemtaka hakika nimekupata, kiu yangu wajua kuikata, kuwa nawe hakika nimeukata kwani wajua kunipa bata! Luv u, mwaah   

Jinsi Ya Kumshawishi Mwanamke Kuwa Yeye Ni Mrembo.

Image
  Ok, tukiachana na hayo, je ulikuwa wajua kuwa wanawake hupenda kusifiwa? Na ulikuwa ukijua kuwa kumsifia mwanamke mara kwa mara ni njia moja wapo ya kutongoza? Well, leo tumekuja na mambo tofauti ambayo unapaswa kutumia ili umshawishi mwanamke kuwa ni mrembo, na wala hataona kama ni maneno unalompakizia ama maneno ambayo ameyazoea kuyaskiliza awali... Zama nami... Jambo la #1 Wakati unapotaka kumsifia mwanamke kuwa ni mrembo, usimwambia, “Wewe ni mrembo” mara kwa mara kwa sababu itafikia mahali flani neno hilo litaisha ladha. Badala yake tafuta sehemu muhimu kutoka kwa mwili wake ambayo utaitumia kama kigezo cha kumsifia. Kwa mfano kama umependezwa na pua yake mwambia, “Nimependezwa na pua yako, kila mara nikiiona najiskia na furaha.” Ama kama umependezwa na mashavu yake unaweza kumwambia, “Mashavu yako ndio nuru ya macho yangu, yanapendeza.” Kumwambia mwanamke maneno kama haya yatamfanya atamani kuwa kando yako. Pia ataona kuwa unamwona anapendeza, unamakinika kuuona urembo wake...

Romantic Birthday Messages.

Image
Being in love doesn’t make me happy. It’s being in love with you year after year that does the trick. One tree can start a forest, One smile can make a friend, One touch can show us love and care, And you make my life worth living, dear! My heart for you will never break. My smile for you will never fade. My love for you will never end. I love you.    

AMKA NA SMS HIZI NZURI.

Image
Nimekutana na wazuri wengi wanaovutia wengi, nimekutana na matajiri wengi wenye sifa za kuhonga, nimekutana na matapeli wengi wa mapenzi wanaojaribu kunitapeli. Lakini kila wanaponitaka nawaambia moyo wangu ni mmoja na una nafasi ya mmoja ambaye ni wewe niliyekuhifadhi siku zote hadi nitakapoaga dunia. ********** Naomba nafasi ya mwisho katika penzi letu, kosa nililofanya naomba liwe kosa endapo nitarudia, mpenzi usiniache kwani utanitesa maishani mwangu. Hakuna binadamu aliyekamilika, nipe nafasi ya kukuhudumia katika chumba cha mahaba. Hakika utaridhika na tiba yangu.

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema.

Image
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?

Goodnight my Love…

Image
♥ I sleep peacefully at night knowing that I have such an amazing man to share my life with. I look forward to seeing what tomorrow brings. Until the morning, my sweet love! ♥ I’m the luckiest girl in the world to have the pleasure of saying hello to you each morning and goodbye to you each night. May the most pleasant dreams greet you, sweetheart. ♥ Sleeping without you is hard, but knowing you are too tired to face tomorrow would be even harder. May sleep find you quickly so that you have the energy to enjoy another day of fun adventures with me.

Good Night Messages For Friends .

Image
♥ The only thing better than spending this day with you is knowing that I get to do it all over again with you tomorrow. Get a good night’s sleep. ♥ I wish I was your pillow so I could rest myself against your cheek the whole night long. I’ll have to settle for this good night text and the promise of hearing your voice tomorrow. I love you.

I AM SORRY LOVE QUOTES.

Image
It is hard for me to hold my anger and be calm when you do something that makes me unhappy. But it’s even harder to see you being so upset about what I say or do. I promise to do my best to never make you feel that way. I’m sorry. *** I feel like it’s almost impossible for me to say that I’m sorry. But I want our relationship to get stronger with every fight, not to fall apart after a minor problem. I didn’t mean to hurt you, let’s talk about that. I’m really sorry. 

SORRY WORDS FOR HER.

Image
Hi, my love. I want to say sorry for my stupidity. Don’t be angry and please forgive me. I want to see you as soon as possible. *** Dear, I want to apologize you for my stupid words. I didn’t want to hurt you because I love you so much. I really hope that you will understand me. *** Please, give me one more chance, my dear. You are the best thing in my life. You are my sunshine. Forgive me!

I AM SORRY QUOTES FOR HER.

Image
Do you know how strong my love for you is? I was a fool that I hurt you. Hope that you love me as always. *** Relationships are hard, and sometimes people fight. It’s totally normal. It is important to learn how to apologize. I feel like I did something wrong, and I am really sorry for making you feel bad. I’ll do my best to never do this again. *** Sweetheart, let me show you how much I love you. All my actions yesterday were only a misunderstanding. I’m feeling guilty. ***

SWEET SORRY TEXTS FOR HER.

Image
You know I’ve got that crazy temper. I still can’t believe you’ve chosen me to be your man. But I always feel sorry for making you sad or hurting your feelings, and I’m working on making myself a better person for you. I’m sorry, baby. *** You are the one who pushes me toward being a better version of myself. I love you, and I am honestly trying to be better. I’m sorry for hurting your feelings, baby. Please forgive me.  *** I hate to see you cry. I know that you are mad at me and cannot believe what I say, but I love you and hate myself for hurting you. Let’s fix this together. I promise to listen and be more understanding. ***

Miss You Messages .

Image
Even though I’m with a lot of people, I still feel empty when I’m not with the person I love. I wish you were here my love. Missing you too badly! If I were a musician, I would write the greatest symphony whenever I miss you!

I Miss You Messages For Lovers.

Image
I want to hold your hand, hold you close, hug you tightly, kiss you softly, and let you rest your head on my chest so that you can hear my heartbeat just for you. I miss you. I can’t figure out why I miss you so much? And I have no idea why my heart wants to see you so much? Maybe, it’s because I love you. In the dewy morning, on a sunny afternoon, in the gloomy evening or on a lonely night, if you ever think of me, know that someone is thinking of you too. I miss you so much.

Good Afternoon Wishes.

Image
May this afternoon bring a lot of pleasant surprises for you and fills you heart with infinite joy. Wishing you a very warm and love filled afternoon! Good, better, best. Never let it rest. Til your good is better and your better is best. “Good Afternoon” May this beautiful afternoon fill your heart boundless happiness and gives you new hopes to start yours with. May you have lot of fun! Good afternoon dear!