Posts

Showing posts from April, 2021

Jinsi ya kulinda mahusiano dhidi ya maadui wa karibu.

Image
  Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya msingi yanayoendelea katika mahusiano yako wewe na mpenzi wako. Hata hivyo kuna wakati watu wengine wa pembeni, wawe majirani, ndugu, wazazi au marafiki wanaweza kuwa ‘sumu’ ya mahusiano yako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya mapenzi. Makala hii inaeleza mambo ya msingi unayoweza kufanya ili kupunguza uwezekano wa rafiki, ndugu, jamaa, au wazazi kuwa ‘sumu’ ya mapenzi yako. 1. Udhibiti wa taarifa kwa wengine: Kadri unavyoelezea mahusiano yako kwa watu wengine ndivyo unavyowapa nafasi watu kutoa maoni, na hata kudhani kuwa wana dhamana ya kukuelekeza unavyotakiwa kuishi na mwenza wako. Hivyo basi, chukua muda wa kutosha kutafakari na kufanya uchunguzi kuhusu maswala yako ya mahusiano kabla haujaanza kutafuta maoni, ushauri kwa watu wengine. N...

Ni maneno gani haupaswi kumwambia mpenzi wako?

Image
  Endapo umekwisha ingia katika mahusiano au unatarajia kuingia katika mahusiano ya kimapenzi, yapo mambo yanyofaa ambayo unaweza kumwambia mpenzi wako naye akafurahi, lakini yapo mambo ambayo kimsingi hupaswi kabisa kumwambia mpenzi wako. Kwani endapo utaamua kumwambia utatengeneza njia ambayo itawafanya mahusiono yenu yafe mara moja. Maneno yafuatayo ni hatari kwa kuwa yanaleta madhara makubwa moyoni mwa mlengwa na ni vyema kuzuia kuyatamka kwa namna yoyote ile. Maneno ambaya ambayo hutakiwi kusema kwa mwenza wako: 1. Nakuchukia   Chuki ni kitu kikubwa sana, kwa kweli huwezi kuishi na mtu ambaye unamchukia. Hutakiwi kumtamkia mwenza wako neno hili. Unaweza kuchukia tabia yake lakini si yeye mwenyewe. Njia nzuri ni kusema kuwa “Nachukia au sipendi tabia yako ya kuchelewa kurudi nyumbani” au maneno yanayofanana na hayo. 2. Maneno ya matusi   Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulan...

OMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO

Image
  Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu! Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene! Mimi kwako ni kipofu, nishike mkono tuvuke barabara, magari ni mengi na yanapita kwa kasi, siwezi kuona zaidi ya kusikia yakiunguruma, honi za magari siwezi kupima umbali wake, usiniache katikati ya barabara nitagongwa na kufa mara moja! Njoo niokoe nitagongwa mpenzi wangu! Forgive me dear…

penzi letu.

Image
  Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia mafanikio mema kwasababu nakujali.  If I could be any letter in the alphabet, I'd choose "V" so I can be next to "U"; if you could be any note, I wish you're "RE" so you’re always beside "ME"! Viungo vyote vya mwili wangu vinakuhitaji, inawezekana kwasababu nimeumbwa kwa ajili yako.

Good Day Wishes.

Image
  Every morning when you wake up, you have energy and a fresh mind. Combine these and start your day in a great way. Wish you a very happy day. May all the negative energy that’s bringing you down leaves you and you live a day filled with joy and positivity. Have a nice day ahead. Hello, beautiful. Be gentle with yourself. Don’t push yourself way too hard. Remember to love yourself even on your vulnerable days. Have a good day.

Happy Birthday to the Love.

Image
" Let’s celebrate your birthday and our love with a day we won’t forget. Happy Birthday, Sweetheart! "This is the perfect opportunity to tell you how much I love you. Happy Birthday, my Love! "I just want to let you know how lucky I am to have you in my life. Happy birthday and I’m wishing you all the best in life.

Happy Birthday to the Love of my Life.

Image
" Let’s celebrate your birthday and our love with a day we won’t forget. Happy Birthday, Sweetheart! "This is the perfect opportunity to tell you how much I love you. Happy Birthday, my Love! "I just want to let you know how lucky I am to have you in my life. Happy birthday and I’m wishing you all the best in life.

Good Night Messages

Image
  For me, the only truth in life is you and your love. When I wake up every morning, all I want is you to start over a new day. Good night! I don’t need anything else to warm me up as long as you love me. Because the warmth of your love is all I need. Good night! Wishing you good night and rest well, dear friend. Stop worrying about life. I will always have your back no matter what.

Sheria Za Kufuata Unapomtumia Meseji Unayetaka Kumtongoza.

Image
 1. Mtext unayemzimia kwa maswali rahisi Kama unamtaka yule uliyemzimia ajibu texts zako, lazima utoe sababu muhimu kwake kujibu texts zako. Unaweza kuanza kumtext kwa kumuuliza anafanya nini muda huo ama unaweza kumtext na kitu ambacho mlikuwa mkifanya pamoja wakati uliopita. Mfano unaweza kumtext 'Ile story ya kuenda kumtembelea binamu yako ilifikia wapi?' [Soma: Maswali mazuri ya kumuuliza mwanamke] 2. Usingojee ajibu meseji ukiwa hapo Iwapo amejibu text yako kwa haraka ni vyema. Lakini kama atachukua muda mwingi, usijisumbue kamwe kukaa karibu na simu. Tafuta kazi nyingine ile ujikeep buzy usijishughulishe na kufikiria meseji uliyomtumia. 3. Usimtext unayemzimia meseji nyingi wakati mmoja Usijaribu kutuma zaidi ya meseji moja kabla hajakujibu. Hii itaondoa ile hisia ya kuonekana kama mtu mwenye tamaa ama kuonekana kama una ajenda chafu. Hii itajitokeza iwapo kama huyo unayemzimia hujakuwa na mazoea naye. 4. Mazungumzo yenu yaendelee...hadi pale kikomo Iwapo maongezi yenu ya...

I miss you my love

Image
                                 Baby, you bring out the best in me. I am never myself when you go away for too long. I miss you, sweet girl. My nights have been cold and lonely since you have left. My days have been unexciting. Baby you know that I miss you more than anything in the world. You are someone who loves me, someone who cares for me, someone who kisses me, someone I can rest on, someone I can trust, someone who will love me always. Sweatheart, imagine what I miss when I am far from you.

missing you quotes for her,

Image
  When a man dreams of his woman, holding her, hugging her, kissing her, and making her feel good while she stares passionately into his eyes, but she is not there beside him when he wakes up. The man goes into a state of gloom. His only cure is the sound of his lover's footsteps. I miss you so much, darling. I look forward to hugging you, kissing you, and taking a walk with you again. I miss you so much, darling. Can you hear this sound? Do you feel this beat? It is my heart. It is always beating for you. I wish you were with me. I love you and I miss you.

i need you my love.

Image
 ♥I love you because I know you're always there, there to catch me when I fall, there to listen when I need you, there when I feel alone. ♥It feels nice to miss you, so I’m missing you. It feels nice to think about you. So I’m thinking about you. It feels nice to disturb you, so I’m disturbing you; it feels nice to love you, so love you dear. ♥Between the thousand yesterdays and a million tomorrows, there's only one today and I wouldn't let this day pass without saying this to you – I love you.

Birthday Quotes, Wishes, And Text Messages For Friends And Family

Image
  “A wish for you on your birthday, whatever you ask may you receive, whatever you seek may you find, whatever you wish may it be fulfilled on your birthday and always. Happy birthday!” “ Another adventure filled year awaits you. Welcome it by celebrating your birthday with pomp and splendor. Wishing you a very happy and fun-filled birthday!” “May the joy that you have spread in the past come back to you on this day. Wishing you a very happy birthday!” “Happy birthday! Your life is just about to pick up speed and blast off into the stratosphere. Wear a seat belt and be sure to enjoy the journey. Happy birthday!”

Good Night Text Messages for Her.

Image
  : I long for the first night we will spend together. I hope you think about us as much as I do. Always keep in mind that I love you till the end of time. Sleep well, dear one. :  My sweet lady, I presume your day has been as lovely as you are. Sleep and rest well, so you can wake up younger and energetic for the big day tomorrow. Goodnight.

ROMANTIC MORNING LINES FOR LOVER.

Image
  We all have our morning rituals. Some people can’t live without their morning coffee, others can’t start their day without meditation. I can’t start my day without texting you first. Good morning, love. Hope you’ll have a wonderful day.  *** Your love is something that keeps me up at night. That’s why I’m always so sleepy. I know it’s pretty early, but I just wanted to wish you a wonderful day. You’re the most amazing human being on Earth, and this world is ready for you to come and conquer it.  *** I want to be the reason for your today’s first smile. I want to be that reason every day, to be honest. Can’t wait to see you making this world a better place just by being yourself. I love you, don’t be afraid of anything and keep your head up.  ***

I’m Sorry Baby

Image
  ♥  Every day I tell my heart to stop loving you. But it never listens. I’ve made mistakes, but I’m really sorry. I want you back in my arms again! ♥  My soul is dry and aches for you. I pray for the blessings of your love to rain down on me again. I didn’t mean to take you for granted. ♥  I deeply regret the ordeal I have put you through. I recognize my mistakes, and I humbly ask for another chance. I promise to make everything up to you.

KISS SMS

Image
  What kisses mean.........? KISS ON HAND~ I adore you,,, KISS ON CHEEK~ let be friends,,, KISS ON NECK~ I want you,,, KISS ON LIPS~ I love you,,, KISS ANYWERE ELSE~ let's not get carried away....!!!          %-----*~~~~*------*~~~~%   If I Had A Chance I Would Kiss Your Lips Every Second, Every Minute, Every Hour, And Every Day And Never Get Tired.          &```````$``````$``````& What Can Make Me Stop Kissing You, Wind, Rain, Or Sunshine? Nothing. A Day Without A Kiss Makes Me Sick.          =~~~~~~~''''''~~~~~~=

Swahili Sayings about Love.

Image
  1. Kuna uwezekano mimi sio wa kwanza kuwa mpenzi wako, kukupa busu, ama kukupenda lakini nataka kuwa wako wa mwisho. Meaning:  I may not be your first date, kiss, or love, but I want to be your last. 2. Hisia bora kabisa ni wakati unamwangalia na yeye tayari anakuangalia. Meaning:  The best feeling is when you look at him and he is already staring.

Apology SMS to a lover- top text messages to win her back

Image
  I am sorry for making you lose your temper. But to be honest, you look boiling hot when your temper boils over. I thought I would be better off alone. But I am nothing without you, time has shown. Better off apart, I thought we would be. But that, is what my heart refuses to believe. I am sorry, I took your love for granted. But trust me, this is not what I really wanted. I love you.  Being my girlfriend I know you have the right to be angry. But don’t forget that being your boyfriend, I too have the right to pamper you until you accept my apology. I am sorry.   

I miss You Messages.

Image
                                                  Missing you is one of the hardest feelings, I can’t work, I can’t eat, I can’t live my old self. Bring back the happiness and come back I miss you very much! If tomorrow you will leave, I promise to make the most out of our time today so that you we will have more memories to remember while we are apart. Let me stay in your heart. What makes some people dearer is not just the happiness that we feel when we meet them but the emptiness we feel when they are not around us. I Miss U! 

Maswali 20 ya SMS kufanya maongez aendee kunoga kwa masaa.

Image
  1. Ni kitu gani ushawahi kufanya, lakini hautafanya tena? Swali kama hili litamfanya kufikiria sana. Swali hili laweza kufanya ujue mambo yake ya chini ya maji zaidi. Mwanzo labda unaweza kugundua ya kuwa kuna mambo ambayo mnagawa pamoja. 2. Tabia gani ya ufidhuli ambayo uko nayo? Kila mtu ana tabia yake ya ufidhuli ambayo amezaliwa nayo. Hivyo swali kama hili litamfanya mwanamke kama huyu kujieleza zaidi hivyo kujiskia huru kuongea nawe zaidi na zaidi. 3. Rafiki yako wa dhati ni nani? Rafiki wa dhati ni muhimu zaidi kama unataka mahusiano yako na mwanamke yafaane. Hivyo lazima ujipendekeze na kujihusisha na rafiki ya mwanamke unayemzimia ili kufunga mahusiano yenu yawe mazito. Unaweza kupanua mawazo yako kwa kumuuliza maswali kama alikuwa rafiki yake tangu lini? Ulimjuaje? nk [Soma: Sababu 11 za wewe kufanya mapenzi na rafiki yako] 4. Ni jambo/kitu gani ulichofanya kitambo ambacho ungetamani usingekifanya? Kufanya makosa ni vigumu kuelewa na kukubali. Hivyo kumuuliza swali kama ...