Posts

Showing posts from July, 2021

Ujumbe wa upendo kwa mpenzi, mpenzi.

Image
 Tambua kuwa nakujali Furahia kwamba nitakuwa na wewe Katika siku zote za maisha yangu Nitakupenda bila kikomo milele Kwa ajili yangu, hakuna kilicho bora kuliko kushiriki siku hii maalum na mtu wangu favorite: wewe. Furaha ya kuzaliwa, upendo wangu!

Vitu 8 muhimu ambavyo mwanamke huzingatia anapokutana na mwanamume kwa mara ya kwanza.

Image
Kwa mara ya kwanza wanawake wamefungua roho na kueleza kuhusu baadhi ya vitu ambavyo wao haviangalia kwa mwanamme wanapokutana kwa mara ya kwanza Suala la kuchumbiana limekuwa na utata zaidi kwa wanaume licha ya kuwepo vitabu vingi kuhusu mahusiano.  Jaridala TUKO.co.ke walichukua fursa maalum kutafiti kuhusu wanachohitaji wanadada kutoka kwa wanaume. Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/262457-vitu-8-muhimu-ambavyo-mwanamke-huzingatia-anapokutana-na-mwanamume-kwa-mara.html 1.Harufu:  Mwanamme anayenukia hupata asilimia kubwa hata kabla kutamka neno.  2.Mshipi na aina ya kiatu Habari Nyingine:  Mshipi wako na kiatu humvutia ama kumchukiza mwanamke mara ya kwanza anapokuona.  3.Kimo:  Ni kweli kwamba mwanamke huzingatia pakubwa kimo cha mwamme kwa asilimia kubwa katika kufanya uamuzi wake.  4.Meno:  Tabasamu hutoa nafasi kuyafunua meno yako. Kila mume anapaswa kuyatunza meno yake vizuri kuepuka harufu mbaya na aibu.   5.Lugha:  Wa...

SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

Image
 L ala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie  karima zitimie njozi  zako.usiku mwema •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•   Usiku mwema mpenzi wangu, upepo wa khuba ukuliwaze katika wako mnono usingz! nakupenda kutoka kwenye chembe ya kulia ya moyo wangu mkunjufu, ulale unono dia! Nakupend laaziz   •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema ,lkn yote hayo hayawezekani kwakuwa 2po mbali! Nakupenda dear. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Hizi ndio sababu 5 zinazowafanya wanaume kwa sasa kupenda tendo la ndoa kwanza na sio kuoa

Image
  Wanawake wengi kwa sasa wanalalamika namna wanaume walivyo kwenye mahusiano, wanasema wanaume wamepoteza moyo wa dhati wa kuwepo wenye mahusiano yaani “commitment”, wanaonekana kama hawana mapenzi tena, wao kila siku ni kuuliza tu tendo la ndoa, na kama halipati basi anaweza kuondoka muda wowote kuelekea huko anakolipata tendo hilo. Hali hii inasumbua mahusiano mengi ya uchumba na wengine wamelazimika kuvunja uchumba, wakiwa karibia kuingia kwenye ndoa. Wanawake hawa wanalalamika wakisema wako wapi wale wanaume wenye kiu ya ndoa? Wako wapi wale wanaume wenye kuongelea kutaka kuoa na kuanza familia na kuwapenda watoto wao? Wako wapi wale wanaume wenye kiu ya mafanikio na kudumisha maisha pamoja na wake zao, mbona kama wamemalizika na waliobaki wana kiu za kula bata tu “kufanya starehe” na kufanya mapenzi pasipo kumaanisha.  Yamkini na wewe unayesoma makala hii unajiuliza maswali haya pia. Wanawake wengine wamekuwa wakieleza kuwa wanaume waliobaki siku hizi ni wavivu, hawana h...

NIMEKUKUMBUKA SANA MPENZI WANGU

Image
  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa usiozibika.rudi  unautesa mtima wa moyo wangu. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·

SMS MPYA KALI ZA MAPENZI

Image
 Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeana bila kubaniana, kubusiana, kusaheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana.Je, utaweza kujifanyia yote hayo? Nijibu mpenzi... ****** Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi letu litakuwa kama mfuko wa hazina, tutalitunza kama zaidi ya mboni ya jicho.

LOVE

Image
  Suala la wanandoa kutokuwa waaminifu kwenye mahusiano yao ni suala mtambuka na limekuwa likiongelewa sana na watu wengi. Sababu mablimbali zimekuwa zikitajwa kuwa chanzo, nyingine ni za kweli na nyingine ni zakufikirika tu. Leo nimeamua kuja na sababu zinazotokana na tafiti za wanaume kutokuwa waaminifu kwenye mahusiano na ndoa. Ikumbukwe kwamba sababu za wanawake kutokuwa waaminifu hazifanani moja kwa moja na sababu za wanaume, na hata kitendo chakutokuwa mwaminifu kwenye ndoa kwa mume au mke pia huathiri ndoa husika katika uzito tofauti. Hii ni kutokana na sababu za kiasilia, kiuumbaji, kiji Sababu 1. Utupu au upweke ndani ya moyo wa mwanaume Pamoja na kwamba wanaume huonekana wakiwa jasiri sana kwa nje ila ieleweke kwamba ni viumbe dhaifu ndani, ni viumbe wasioweza kuvumilia upweke ndani yao, wakati wote hutamani kuwa karibu na mwanamke hata kama akiwepo karibu hawaelewani mara kwa mara. Maranyingi kwenye mahusiano unakuta mwanaume ameoa au ana mpenzi na kuna mambo yanaendelea...

Njia 12 za Kuwa na Furaha, Ndoa Bora

Image
 Kila mtu katika maisha haya anaathirika na ndoa, ama ya wazazi wao, wao wenyewe, au watoto wao. Kuweka ndoa imara wakati wa kukabiliana na majaribu ya maisha inaweza kuwa shida kubwa, lakini kujifunza kutokana na uzoefu wa wengine kunaweza kutusaidia kupitia nyakati hizi. Hapa kuna orodha ya njia kumi na mbili ambazo wanandoa wanaweza kuendeleza ndoa na furaha. 01 ya 12 Ndoa Kulingana na Imani katika Yesu Kristo Ndoa yenye furaha itaanzishwa kwa urahisi na kudumishwa juu ya msingi imara wa imani katika Yesu Kristo . Mzee Marlin K. Jensen wa wa sabini akasema: "Injili ya mwisho ya injili ambayo itasaidia kuelewa na hivyo ubora wa ndoa zetu unahusiana na kiwango ambacho tunamhusisha Mwokozi katika mahusiano yetu kama waume na wake.Kama iliyoundwa na Baba yetu wa Mbinguni, ndoa inaingia kwa mara ya kwanza katika uhusiano wa agano pamoja na Kristo na kisha kwa kila mmoja.Ina na mafundisho yake lazima iwe ni msingi wa umoja wetu.Kwa tunapokuwa zaidi kama yeye na kukua karibu naye, kwa...

I MISS YOU BABY.

Image
  Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.· •Sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  Kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo mwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Meseji za Mahaba

Image
 >>———>>> Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk maisha yangu na kama umekutana naousiukwepe uache uchome Moyo wako gharamaza matibabu juu yangu. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  Sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenziunayonipatia,moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daimakukupatia nakupenda •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  Hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako .•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

sms tamu za kumtumia mpenzi wako Wakati wa birthday..

Image
  Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wakwe zangu, unajua ni kwa nini? Ni siku waliyokuleta kwenye hii dunia, happy birthday mpenzi! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Mfanye Mwanamke Ajisalimishe Kwako Na Mbinu Ya 'Sheria ya Utwekaji'

Image
Je ushawahi kupatikana katika hali ambayo unampenda mwanamke flani lakini yeye hakupendi? Umejaribu uwezo wako wote wa kumpendeza lakini huoni ukivuna matunda yeyote? Mbaya zaidi ni kuwa umechoshwa kwa kuwa umepoteza muda wako kumtoa deti na kutumia pesa zako, halafu mwanamke anatoa VISABABU vya kuwa hajiskii kutoka deti nyingine na wewe. (Psss...usiendelee kusoma zaidi kama hujasoma  makala ya kwanza ya chapisho hili . Unajihisi kana kwamba wanawake hawathamini kile ambacho unawafanyia. Ok hii ni kawaida kwa sababu wanaume karibu wote KILA MARA hufanya jambo moja au jingine kwa mwanamke na huwa mwishowe HAWAPATI kitu. Nakumbuka hii stori ya rafiki yangu flani ambaye aliingizwa katika 'friend zone' na mwanamke kiasi cha kuwa alishindwa kujinasua. Siku moja alialikwa na huyu 'dem aliyemkufia' siku ya Jumapili kwenda kumsaidia kuhamisha vyombo vyake hadi kwa nyumba mpya aliyokuwa akihamia hapo. Ili kuonyesha upendo wake kwake aliamua kumsaidia na ilimchukua zaidi ya masaa...

Maswali 40 Ya Kumuuliza Mwanamke Katika Deti

Image
  Ushawahi kutoka deti na mwanamke halafu ukafikia mahali katika chat yenu unaishiwa na maneno ya kuongea? Ama umeagana na mwanamke mtoke deti siku ya pili halafu umekuwa ukikesha siku nzima ukiwaza ni maneno ama ni usemi gani utakaoongea siku ya pili wakati ambapo mtakutana? Well, usiogope. Hapa umefika kwa zahanati ambayo itakutibu matatizo yako. Hapa tumekuandalia maswali 40 ambayo utayatumia kumuuliza mwanamke na kuyafanya maongezi yenu yavutie na kumfanya mwanamke apendezeke na wewe hadi mwisho. Well. Kabla ya kuorodhesha maswali haya kuna mambo ambayo unapaswa kufahamu: Anza kwa kumsifia ama kumpendezea kwa mambo anayofanya mfano unaweza kumsifia vile alivyovalia, kazi yake, umbo lake nk. Wakati utakapokuwa unamuuliza mwanamke haya maswali, hakikisha ya kuwa unatoa nafasi ya angalau sekunde 30 kabla ya kumuuliza swali la pili, yaani usimmiminie maswali yote wakati mmoja. Hakikisha kuwa haulazimishi maswali yako, mwanamke akikataa kujibu swali lako jipe shughli kiasi kv unawez...