Posts

Showing posts from September, 2021

Meseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri

Image
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda Mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu  

I LOVE YOU MY DEAR

Image
  Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji  kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo  kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET”         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! “NAKUPENDA MALAIKA WANGU”         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi  umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama  hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA  MWINGINE ZAIDI YAKO”          *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani  nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi  kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali  hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI       ...

Uwe na usingizi mzuri mpenzi wangu uniote /sms

Image
  Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,  fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,  fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo  kwa kukutumia sms mpenzi wangu,  Nakutakia usiku mwema         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji  kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo  kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET”

Nisamehe mpenzi wangu

Image
  Tukae kimya sheteni apite, naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa sheteni ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu! Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear!

Upo kwenye akili yangu.

Image
  Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda. Mpenzi najua u-mbali nami, majaribu ni mengi wapaswa kujihami, nitunzie zangu zabibu wangu tabibu, jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja kukutibu, miss u ma luv. Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kuyatibu, napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda.

CHAGUA SMS NZURI KATI YA ZIFUATAZO, KISHA MTUMIE MPENZI WAKO...

Image
  Kama nikiambiwa niweke rekodi ya watu muhimu katika maisha yangu duniani, kwenye tatu bora utakuwepo, kwanza wazazi wangu halafu wewe unafuatia, nakupenda dear! ***** When you need someone to be there for you, I’d be just sitting right beside you! ***** Usiku huu ni mrefu ajabu, kuna baridi kali kuliko maelezo, natamani ungekuwa pembeni yangu nipate joto lako! Ingawa upo mbali nami, lakini amini kuwa nakupenda kwa mapenzi yangu yote, lala salama dear, mwaaaaa! Kila ninapovuta hisia ya kuwa na wewe nachanganyikiwa, natumia mto pembeni yangu naufananisha na wewe, nakupenda mpenzi!

penzi letu: sms za mapenzi

Image
  Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia mafanikio mema kwasababu nakujali. Viungo vyote vya mwili wangu vinakuhitaji, inawezekana kwasababu nimeumbwa kwa ajili yako.

Kanuni Kumi '10' Muhimu za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa....Ikizishindwa Imekula Kwako

Image
  UHALISI WA MAISHA: Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU: Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. UPENDO WA DHATI: Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzungu...

MESSAGE NZURI ZA MAPENZI

Image
  Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe. **** Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.

Meseji nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupenda zaidi

Image
Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi.  Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.

MTUMIE MPENZI WAKO PICHA HIZI NZURI ZENYE UJUMBE MTAMU

Image
 

HEBU JIFUNZE KUMMISS MPENZI WAKO ILI KUONGEZA UPENDO

Image
  Ni lazima uipe pumzi penzi lenu kama mnafanya kazi ambayo inawafanya wewe na mke wako kuwa pamoja kila wakati, basi kila mmoja anahitaji muda wa peke yake awe na muda wa kummiss mwenzake. Huwezi kummiss mtu ambaye kila dakika unamuona, sana sana utaishia kuona mapungufu yake na kugombana tu. Utammiss vipi wakati kila wakati uko naye, kila mmoja anahitaji kummiss mwenza wake ili mapenzi yawe na raha. Mume/mke wako anahitaji maisha mbali na wewe, anahitaji angalau nusu saa kwa siku ambayo hataona sura yako, atakuwa na watu wengine, atakuwa na marafiki au atakuwa anafanya kitu kingine bila wewe. Kama uko kwenye ndoa au mahusiano ambayo kila kitu mnafanya pamoja, kila wakati mko pamoja, kila muda wa ziada mko pamoja basi suala la kugombana kwenu ni la muda tu. Jifunze kuwa na furaha nje ya mwenza wako, si kuchepuka hapana, hata kucheza tu karata na majirani inatosha kukufanya ummiss mwenza wako. Kama kila wakati mko pamoja, hata kama hamfanyi kazi pamoja lakini kama ule muda wa zaida...

JINSI YA KUINGIA KATIKA AKILI YA MWANAMKE UMPENDAE

Image
  Je uko tayari kufahamu jinsi ya kuingia katika akili ya mwanamke na kufanya mapinduzi ya njia ya kawaida unayotumia kuapproach mwanamke? Kama jawabu lako ni ndio, basi zama nami kusoma hizi mbinu ambazo zimethibitishwa kufanya kazi. 1. Anza approach ya mbali Kabla ya kumuapproach mwanamke, hakikisha ya kuwa unamsoma kwa umbali mambo anayofanya kwanza. Halafu ukiona kama umepata kile unachoweza kutumia kutoka kwake unaweza kumuaproach. Ukiwa unaongea nayeye mwambie kuwa una uwezo wa kusoma nyota yake. Wanawake wengi watakubaliana na hili ili kuona ucheshi wako. Halafu ukirudilia na vitu ambavyo ulimsoma awali, utakuwa umemfunga. Mwanzo kama umejaribu kumtabiria vitu ambavyo viko sawa kwake ama vinahusiana na yeye, una nafasi kuu ya kumfanya kukutaka kukufahamu zaidi. Pia ni vizuri kufahamu miondoko ya wanawake na mapema ili kuelewa kama anakubaliana na utabiri wako kwake. [soma; Jinsi ya kuapproach demu usiyemjua] Pia unaweza kuwambia unaweza kusoma nyota yake kupitia kwa maganja ...

Ninahamu na wewew my dear ;;;sms

Image
  Nimekupenda muda mrefu kabla ya mwanzo wa nyakati na nitakupenda hata wakati kumbukumbu zetu zitafutwa kutoka kwa uso wa Dunia. Unajua siri za moyo wangu, una ufunguo wa kufungua moyo wangu, na nina hakika hautapoteza kamwe au utatupa! Wakati mwingine kutazama uzuri wako kwa vitendo kunanifanya nishindwe kusema kabisa. Maneno yananiacha.

Sms nisamehe mpenzi wangu. sms

Image
  ***** Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu! ***** Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene!

my love

Image
  Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,  siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu  muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.  “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno  laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama  apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee  salamu “UHALI GANI MPENZI?”
Image
  Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Dunia tofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja, hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha hayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitaji kuishi nikumbuke mimi.        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

SMS za mapenzi kwa yule umpendaye

Image
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi… na mapenzi huanza na mimi na wewe.        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchana hazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje, ‘tunafiti’ kuwa pamoja.       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha, mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo?