Posts

Showing posts from October, 2021

ASUBUHI NJEMA

Image
  Tazama kumepambazuka mpenzi na nimeiona siku nyingine ya jua, naamini nawe umeamka salama katika uzuri wako, Mungu amekujalia uzima tena kwakuwa bado unahitajika kuwajibika, na bado kuna mtu anakuhitaji, mwangaza Wa asubuhi ulivyo mzuri nawe ukaangaze katika moyo wako mpenzi wangu, nakutakia kazi njema hats tuonane jioni tena, nitakumiss babe Mpenzi nikuulize kitu asubuhi hii? Je, ulivyoamka umewaza nini na Je umetazama nini, mie nilipoamka nikatazama nje kama kumepambazuka nikaona jua linachomoza nikatamani mapenzi yetu yazidi kuchomoza kila siku yawe mapya yaliyojaa Amani na furaha, pia nikawaza nifanyenini ili mapenzi yetu yazidi kuwa moto, hata nakosa maneno ya kukwambia namna navyokupenda, asubuhi njema babe

I LOVE YOU SUKARI WANGU

Image
  Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani! Moyoni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea, sijui nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea, kumbuka nilikupenda!

JIFUNZE MUFANYA MWANAMKE YOYOTE AKUELEWE, TAFUTA HAPA

Image
  Usiku uliotulia nilikua nipo kitandani nikiiwaza safari ambayo nilikua nimeisha jiaanda kuianza pindi kutakapo kucha. Safari hii ilikua ni yakwenda Dar es salaam kwaajili ya kufanya kazi katika Jumba moja la kifahari baada ya matokeo yangu kuwa mabaya na kushindwa kuingia kidato cha tano ili kuendelea na masomo pia binafsi sikupenda kuendelea maana nlikua sielewi kabisa vitu vinavyoendelea darasani kutokana kichwa kuwa na mambo mengi ikiwemo mambo ya ugovi wa katika familia yetu. Baadae usingizi ulinichukua kisha nikashtushwa na Alam ya simu yangu nilioitega iniamshe ili niwahi gari kabla halijaondoka maana magari ya hapa iringa huwa yanajali sana muda kiasi ambacho ukichelewa dakika chacheche tu, unaweza achwa. Nilijiandaa, nikalibeba begi langu la nguo na wallet iliojaa pesa kwaajili ya matumizi yoyote yatakayojitokeza kisha nikaenda kupanda gari na safari ikaanza. Wakati gari ikiedelea kwenda nilikua nikiliwaza jiji la Dar maana hiyo ilikua ni safari yangu ya kwanza na nilikua...

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO

Image
 Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe nafasi nyingine moyoni mwako! Nipe nafasi nyingine maishani mwako! Nisamehe mpenzi wangu! Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhati penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.

USKU MWEMA MY

Image
 kila kilicho ""MOYONI"" si rahisi kukitoa,Akuthaminie Hukuona ""GHALI"",akukumbukae juwa amekuhifadhi ""MOYONI"" na ""AKUNPENDAE"" Hachoki Kukuombea ""MEMA ucku  mwema  hny. Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema.

Nimekukumbuka sana mpenzi.

Image
 Nyumba ni nafasi tu, nyumba ni mahali penye upendo. Wewe ni nyumbani kwangu mpenzi, nimekuwa bila makazi tangu ulipoondoka. Ninakukumbuka kuliko kitu chochote.  Kama vile samaki hawezi kuishi bila mapezi, siwezi kupitia maisha bila wewe. I miss you, babe, tafadhali kuja nyumbani hivi karibuni.  Niligunduliwa na ugonjwa wa "I miss you", na sasa ninapambana na athari isiyoweza kutenduliwa ya kukukosa kila wakati. 

HELI YA KUZALIWA MPENZI WANGU.

Image
 Wewe ndio sababu ya mimi kutabasamu kila siku. Mapenzi yetu hayatapita kamwe, na upendo wetu utang'aa zaidi siku hii maalum. Nakupenda. . Asante kwa kumbukumbu zote ulizonipa. Haijalishi tuna umri gani, na ni siku ngapi zaidi za kuzaliwa tunazosherehekea, nitakuwa hapa kwa ajili yako kila wakati. Heri ya Siku ya Kuzaliwa. . Wewe ni zawadi katika maisha yangu, na katika siku yako maalum, ninakupa zawadi ya upendo wangu. Ichukue kwa mikono wazi, na ukumbatie kumbatio langu.

Mchana mwema my love.

Image
  Habari za mchana! Amani tamu iwe sehemu ya moyo wako leo na siku zote na kuna maisha yanaangaza kupitia kuugua kwako. Uwe na mwanga mwingi na amani. Kuwa katika upendo na wewe ndio hisia tamu zaidi ambayo nimewahi kujua. Asante kwa kufanya siku zangu ziwe za kupendeza. Habari za mchana! Natumai uko tayari kuanza karamu ya alasiri na kusahau kuhusu siku yako yote.

Usiku mwema my love.

Image
"Matumaini yangu kwetu ni kwamba hatupaswi kamwe kutengana na kwamba upendo wetu unaendelea kusitawi hadi mwisho wa wakati wetu. Usiku mwema." “Mto wangu umekuwa mwenzi wangu kwa usiku kucha, kwa kuwa hauko hapa kunionyesha hisia zako ninatuma zangu kupitia ujumbe. Nakupenda. Usiku mwema."  “Watu wengi wamekuja maishani mwangu, wengine wakiwa na nia njema na wengine kwa nia mbaya. Lakini hakuna aliyewahi kunipa kiasi hiki cha Furaha. Nimefurahi kuwa na wewe. Usiku mwema."

Nisamehe mpenzi wangu.

Image
Maisha yangu hayajakamilika bila wewe, mpenzi wangu. Ninaomba radhi kwa mapigano na kutokuelewana, na ninaahidi kubaki mwaminifu kwako hadi mwisho. Ninakosa nyakati bora zaidi tulipozoea kucheka na kutazama sinema pamoja. Rudi nyumbani, kwa maana moyo wangu ni tupu bila wewe. Samahani kwa makosa niliyofanya.

Nakupenda mpenzi.

Image
 >Kuna uwezekano mimi sio wa kwanza kuwa mpenzi wako, kukupa busu, ama kukupenda lakini nataka kuwa wako wa mwisho. > Sina haja ya mahala peponi kwa sababu nimekupata wewe. Sina haja na ndoto kwa sababu niko na wewe. .Kupenda sio kitu. Kupendwa ni kitu. Lakini kupenda na kupendwa ni kila kitu.

I LOVE YOU

Image
 Macho yako mazuri yamenifunga zaidi ya mara moja, wakati ninapofikiria macho yako ya upendo, ninabaki kizunguzungu, nimerogwa na uzuri wako.  Ilichukua mama yangu miaka kunifanya mwanamume, lakini ilikuchukua sekunde kunifanya niwe mwendawazimu… wazimu kwako. Nimeanguka kwa macho yako. Ninataka kuchukua mkono wako na kutangaza upendo wangu kwako. Nilianguka chini ya uchawi wako. Ni wewe ninayetaka.

Nimekumisi mpenzi wangu

Image
Mmmh! Cjui ni kwa nini nahamu ya kufaidi penzi lako kiasi hiki? Natamani laiti ungekuwa karibu yangu unipime gonjwa hili na unitibu pia. Kwani wewe ndiye daktari wa pekee ni naye mwamini. Nimemiki kila kitu kutoka kwako. Nahisi nazidi kuchanganyikiwa kwa ukosefu wa penzi lako. Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani!

Happy birthday sms

Image
 Siku hii na iwe jua kama tabasamu lako, na nzuri kama wewe. Unaangaza kila siku, lakini siku hii, utaangaza zaidi. Heri ya Kuzaliwa.  Sijawahi kukutana na mtu ambaye ni mtamu kama wewe. Siku hii, tunasherehekea utamu wako kwa kula keki tamu na kunywa divai tamu. Unafanya maisha yangu yawe na thamani ya kuishi. Unaniletea tabasamu, na mguso wako unanionesha ni kwa jinsi gani unanipenda na unanijali. Wewe ni rafiki yangu na mpenzi wangu. Heri ya Kuzaliwa.

Heri za kuzaliwa mpenzi wangu.

Image
  Kila siku ya kuzaliwa hukufanya kuwa na hekima na kukomaa zaidi. Umri ni idadi tu lakini hekima ni hazina! Heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa! Moyo wako na ujazwe na furaha na maisha yako na furaha. Heri ya siku ya kuzaliwa mpenzi! Mwangaza wa mishumaa uangaze maisha yako kwa siku zingine zote. Mungu akubariki siku yako ya kuzaliwa. Nakutakia kila la kheri!

USIKU MWEMA MY'

Image
"Nitalala na wewe kama wazo langu la mwisho, na siwezi kungojea kuamka kwako kama wa kwanza." "Sitaki kulala kwa sababu najua ndoto zangu haziwezi kulinganishwa na wewe katika ukweli wangu.

Nisame my love

Image
  Moyoni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea, sijui nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea, kumbuka nilikupenda! Nakiri kweli nimekukosea naomba msamaha kwa yote yaliyotokea hakika nimekukwaza lakini kwa kuwa hii ni yangu mara ya kwanza naamini utanisamehe la azizi na kunipa nafasi yakulienzi lako penzi.
Image
  ♥ Upendo wako ni kama hewa. Sitaacha kutaka zaidi na zaidi, lakini siwezi kuigusa, kwa sababu uko mbali na mwili wangu . Wakati uko hapa, nataka kutumia kila sekunde na wewe. Wakati hauko, kila sekunde hudumu sana na tiba yangu pekee ni kukuota.

LOVE SMS

Image
  => Nakunjua moyo wangu huishi milele maishani, nafungua nafsi nikupende wewe pekee. Nafunga milango ya moyo wangu ili kutopokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi. Nakupenda sana beib. => Mmmh! Cjui ni kwa nini nahamu ya kufaidi penzi lako kiasi hiki? Natamani laiti ungekuwa karibu yangu unipime gonjwa hili na unitibu pia. Kwani wewe ndiye daktari wa pekee ni naye mwamini. Nimemiki kila kitu kutoka kwako. Nahisi nazidi kuchanganyikiwa kwa ukosefu wa penzi lako.

Njia 10 Mbadala Za Kutongoza Kwa Macho Ambazo Hufanya Kazi

Image
 Mwanzo mchezo wa kutumia macho kama mbinu ya kutongoza huwa ina raha yake kiasi flani. Uzuri wa kutumia mbinu hii ni kuwa ni rahisi kufahamu kiwango gani mtu amevutiwa nawe bila kuwauliza kuwatoa out. Pili ni kuwa uzuri wa kutumia mbinu hii ni kuwa unamjulisha unayemzimia na mapema ya kuwa umewavutia hivyo kujitayarisha na mapema iwapo watakubali kufanya maongezi na wewe. So ni mbinu zipi hizo unazoweza kutumia kumvutia unayempenda bila kuonekana kama fala? Njia za kutongoza kwa kutumia macho Utafanya nini iwapo umemuona yule aliyekupendeza katika mkahawa ama katika party ulioalikwa na marafiki zako? Kama hujui la kufanya basi tumia macho yako kumtongoza ili kumfanya avutiwe nawe kiurahisi. Fanya kutumia mbinu hizi 10 tulizoziorodhesha kupitisha ujumbe wako mara moja. 1. Mwangalie mara kwa mara kikawaida Umemuona yule aliyekupendeza? Fanya kumuangalia mara kwa mara kikawaida. Itafikia mahali flani pia yeye atanotice ya kuwa umekuwa ukimuangalia kwa muda hivyo utaiteka atenshen yak...

Mchana mwema my

Image
  Urafiki ni kama hewa, Haionekani lakini ipo siku zote, Mchana mwema rafiki yangu ...................................................................... Sms kutoka ndani ya “MOYO” wangu sehemu ambayo wanakaa wapendwa wangu kama wewe. nimekumiss ....................................................

SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema

Image
 Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema  Hiki ni kipindi muhimu kwetu, kuoneshana mapenzi ya kweli, wanafiki wabaki kimya kwa aibu zao…  Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni mwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako daima, nakupenda dear…

Ujumbe wa Kutongoza Msichana

Image
  Nimeanguka kwa macho yako. Ninataka kuchukua mkono wako na kutangaza upendo wangu kwako. Nilianguka chini ya uchawi wako. Ni wewe ninayetaka. Ninapoona macho yako, inaonekana kama hakuna jambo muhimu tena. Ulimwengu wote unapotea; ni mimi na wewe tu. Wanasema kuwa ukweli hutoka katika vinywa vya watoto, je! Lazima niwe mtoto kukuambia kuwa ninakupenda.

Meseji za kumuomba mpenzi wako msamaha.

Image
Hivi kweli haya ndiyo mapenzi ama naota njozi? Nimefanya kila naloweza kuliimarisha letu penzi lakini naishia kuambulia majonzi, nimekuwa mtu wa kububujikwa na machozi kwa sababu ya lako penzi, kama nimekukosea tafadhali niwie radhi mpenzi, nakupenda na amini wewe pekee ndiye uliyetimiza ndoto yangu ya mapenzi. ''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' Hivi ni kosa gani nilililokutendea ambalo sipaswi kusamehewa? Ni kweli nilikosea nahitaji kusamehewa mpenzi, plz naomba nielewe kwani sina mwingine zaidi yako wewe. Luv u ''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' Nakiri kweli nimekukosea naomba wako msamaha kwa yote yaliyotokea hakika n...

Nakupenda mpenzi mwangu..

Image
  Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi!  Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani si wakwanza katika hii dunia, mpenzio kumfumania, wengi huwatokea katika hii dunia, tulia na vumilia Mungu atakupatia mpenzi aliyetulia, pole rafiki yangu klpenzi ndiyo mambo ya dunia

USIKU MWEMA MY

Image
  Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa mwenye hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear?   Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi!

HELI YA KUZALIWA MPENZI.

Image
Watu wengine huzaliwa na sura nzuri na wengine huzaliwa na akili nzuri. Kwa bahati mbaya, wewe sio wa mmoja wao. Heri ya siku ya kuzaliwa! ...........................  Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi. Heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa, Mungu aendelee kukubariki na mambo yote mazuri maishani.

HAYA SASA SMS MPYA KALI ZA MAPENZI

Image
  Nipe niridhike, nionjeshe usinilambishe nikigonga unikaribishe na ndoa yetu tuiharakishe. ****** Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeana bila kubaniana, kubusiana, kusaheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana.Je, utaweza kujifanyia yote hayo? Nijibu mpenzi... ****** Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi letu litakuwa kama mfuko wa hazina, tutalitunza kama zaidi ya mboni ya jicho.

Unachopaswa Kufanya Katika Hatua Za Awali Za Uhusiano Na Msichana Unaempenda

Image
 Kwa kawaida Mwanaume unapohitaji kuanza uhusiano na msichana unaempenda sana, kiu na njaa ya kuwa naye huwa iko katika kiwango kisichopimika. Hasa unapokuwa unaanza kuwasiliana nae na ukafanikiwa kumsogeza karibu na kumuonesha kwa vitendo kuwa unampenda na kwa bahati nzuri, akaanza kukuwashia ‘Taa ya Kijani’. Hata hivyo, mwanzo huu unaweza kuwa mbaya kwako endapo hautazingatia kanuni moja muhimu sana kati ya kanuni nyingi za kuendeleza na kudumisha mapenzi yaliyochipua yanayohitaji mbolea na maji safi kutoka kwako ili yachanue. Ingawa ukweli ni kwamba muonekano wake na mvuto alionao mwanamke unaempenda unaweza kuwa ndio chanzo kikubwa kilichokusukuma kumfuata na kuanzisha maongezi kwa mara ya kwanza, ni muhimu sana kutomuonesha dalili zozote kuwa ‘ngono’ ndio hitaji lako la kwanza au kitu ulichokipa kipaumbele. Kabla hujamwambia kitu chochote, kumbuka yule ni mtu mzima, mrembo aliyewavutia wengi kabla yako. Jiulize maswali kadhaa, je, kwa makadirio ya haraka haraka unadhani kuna n...

Mahaba plus ..sms

Image
 Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,  huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili  mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.  Mchana mwema         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala  sina wazo la kukutenda, nakuomba  tuendelee kupendana siku zote habbity wangu          *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,  siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu  muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.  “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

MESEJI NZURI ZA MAPENZI KWA UMPENDAYE KWA DHATI

Image
  Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani la azizi? Nashukuru kwa yako dozi hakika katika mapenzi wewe ni mkufunzi, wajua bakora kuitumia, mpenzi usije ukawa na mwingine unayempatia, hakika nikijua nitaumia kama sikujiuam. Nnakupenda! Wangu Malkia nashukuru kwa mahaba uliyonipatia, nikikumbuka miguno na viuno ulivyonipatia na raha niliyojisikia, nahisi kuna mwingine unampatia, please dear penzi langu usije wengine kuwapatia! Nakupenda.

i love you

Image
 Nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni nasikia raha.   Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng’ombe akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu halitafutika kamwe. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  

Uwe na usingizi mzuri mpenzi wangu.

Image
  Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,  fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,  fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo  kwa kukutumia sms mpenzi wangu,  Nakutakia usiku mwema         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji  kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo  kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET”

SMS NZURI YA HAPPY BIRTHDAY KWA MPENZI WAKO

Image
  Hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenz   Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi  akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,  pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,  nakupenda la azizi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  

Ujumbe msamaha wa kimapenzi.

Image
 Maisha yangu hayajakamilika kwa dhati bila wewe, mpenzi wangu. Ninaomba radhi kwa vita na kutokuelewana, na ninaahidi kubaki mwaminifu kwako hadi mwisho. Ninakosa wakati wote mzuri wakati tulikuwa tukicheka na kutazama sinema pamoja. Rudi nyumbani, maana moyo wangu ni mtupu bila wewe. Samahani kwa makosa niliyoyafanya.

MISSING SMS

Image
Mtu wa kukumbatiana, mtu wa kumbusu, mtu wa kuzungumza naye, mtu wa kumbembeleza. Mtu wa kunifanya nitabasamu, mtu wa kunichekesha, mtu wa kumpenda, mtu wa kunifanya nijisikie kamili. WEWE ndiye mtu pekee ambaye anaweza kujaza viatu vya hawa WENGINE. Ninakukosa rohoni.          $ ~~~~~~~~ * # * ~~~~~~~~ $ Angalia jua na uone wakati, Angalia moyoni na uone upendo, Angalia macho na uone maisha, Angalia simu yako ya rununu na uone ni nani anayekufikiria, Hakuna mtu ni mimi. I MISS U MTOTO WANGU ......... !!!           $ ~ ~ ~ ~% ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~

UNAMWOMBAJE MPENZI WAKO MSAMAHA?

Image
KUKOSEA katika maisha ya binadamu ni kawaida. Ni sehemu ya maisha yake. Tena inaaminika kwamba, kukosea ni kujifunza, maana kosa utakalofanya leo ni funzo la kesho. Hii ipo pia hata katika uhusiano na wapenzi wetu, mara kadha wa kadha tumejikwaa na kuwakosea. Hakuna cha ajabu. Ni kawaida kabisa, lakini jambo la msingi hapo ni kwa namna gani tunajifunza kupitia makosa. Ni kwa jinsi gani tunamaliza tofauti hizo. Maana unaweza kuwa hodari wa kukosea au ukawa bingwa wa kusamehe, lakini wimbo huo ukaendelea kubaki hivyo hivyo kila siku. Lakini pia, wapo ambao kwa bahati mbaya, bila matarajio yao wanajikuta wakiwa wamewaudhi wapenzi wao. Ni bahati mbaya na yawezekana kabisa wanaumia sana mioyoni mwao, lakini wakashindwa jinsi ya kumaliza ‘bifu’ hilo katika penzi lake. Siku zote mkosewa hukosa raha, hupoteza hamu ya kukutana na mpenzi wake lakini kubwa zaidi, hujishusha/hukushusha thamani ya mapenzi yake kwako. Lakini mkosewa huyo huyo, akioneshwa kwamba makosa yaliyofanyika hayakuwa ya makus...