Posts

Showing posts from April, 2022

SMS STORY NZURI YA UPENDO YA KUMTUMIA MPENZI WAKO AU UMPENDAE…

Image
 Kwenye ubongo nimekusevu “I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonae nasema “NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,every “SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI, 2/ UPENDO 3/ FURAHA 4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya Maana pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA.Mm nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU 1/ RADHI ZAKE, 2/ HAIBA KWA WATU 3/ MAFANIKIO KATIKA KAZI ZA MIKONO YAKO.USIKU,,MWEMA, ……………………..

Ujumbe wa Siku ya Kuzaliwa na Heri kwa Rafiki

Image
Asante kwa kuwa sehemu ya maisha yangu katika kila moja ya miaka hii. Kwa sababu yako, ninaweza kutumia maisha yangu kikamilifu. Nakutakia furaha zote kwenye sayari leo. Furaha ya kuzaliwa! Mimi na wewe tunashiriki kifungo ambacho hujengwa kwa upendo na heshima kwa kila mmoja. Leo ninahisi furaha sana kwa sababu ni siku yako ya kuzaliwa! Kila la heri kwako! Nilisahau kukununulia zawadi, kwa hivyo nilijiletea kama zawadi yako ya siku ya kuzaliwa. Ninaweka dau kuwa hakuna mtu anayeweza kukupa zawadi ya thamani kama yangu.

Nimekumiss mpenzi wangu.

Image
  Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu, napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda. Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu, unipapasapo huhisi kupoteza fahamu, maneno yako matamu hunizidisha hamu, hakika wajua kunikamua, luv u.

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI ULIEMKOSEA

Image
 Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene! •·.··• Mimi kwako ni kipofu, nishike mkono tuvuke barabara, magari ni mengi na yanapita kwa kasi, siwezi kuona zaidi ya kusikia yakiunguruma, honi za magari siwezi kupima umbali wake, usiniache katikati ya barabara nitagongwa na kufa mara moja! Njoo niokoe nitagongwa mpenzi wangu! Forgive me dear...

Sms tamu za mchana mwema.

Image
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.    Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake, wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo.   

Je Unapenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa? Soma Hapa - UWANJA WA MAPENZI

Image
 Imezuka tabia ya wanaume wengi kupenda sana wanawake wenye makalio makubwa, siku hadi siku tabia hii inazidi kuwa sugu kwani kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani. Licha ya kuwa watu wengi huzimika na wanawake wenye makalio makubwa lakini ukweli upo tofauti kabisa kwani wanawake hawa wamekuwa na kero kadhaa ambazo ni sugu sana,zifuatazo ni kero zao kuu tatu. *Mwanaume huwa hapati mwanya au nafasi nzuri ya kuingiza Mashine na ikafika kunako kwani mara nyingi ukubwa wa makalio huzuia Mashine kusugua K kisawasawa hivyo badala ya kupata burudani unakesha ukihangaika kupekenyua tu makalio na kujikuta umemwaga hata bila ya kula mzigo inavyotakiwa. *Wanawake wenye mzigo mkubwa wa makalio huwa wazito na hivyo inakuwa ngumu sana kuwakunja ipasavyo au kumlalia mwanamke kwa juu hivyo mara nyingi wamekuwa wakiwekwa mkao wa kifo cha mende tu wakati zipo staili nyingi na tamu kuliko maelezo ambazo wanawake wengi weny...

Mapenzi ni matamu sana, fungua post zetu na uzisome kwa undani zaidi utajua ni kwanini nasema mapenzi ni matamu

Image
 Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.        *°·°  ♥  °·°* Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha 

SMS TAMU ZA USIKU MWEMA.

Image
Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!! Lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie karima zitimie njozi zako.usiku.  

Nakupenda baby wangu.

Image
Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani si wakwanza katika hii dunia, mpenzio kumfumania, wengi huwatokea katika hii dunia, tulia na vumilia Mungu atakupatia mpenzi aliyetulia, pole rafiki yangu klpenzi ndiyo mambo ya dunia! Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa mwenye hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear. Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani la azizi?

SMS TAMU ZA USIKU MWEMA

Image
 Hei babe, wewe ndiye msichana mrembo zaidi ulimwenguni machoni pangu lakini sitaki uwe na duru nyeusi karibu na macho yako! Lala usingizi mkali! Kila siku mimi huishia kuwa mraibu kwako na sitaki kabisa kuachana na uraibu huu uliogunduliwa kwani huniletea furaha kwamba ninaweza. fikiria. Usiku mwema uraibu wangu!

Uwe na mchana mwema baby

Image
 Mpenzi Hujambo huko ulipo ? nadhani wewe ni mzima sana tena hujambo unaendelea vizuri tu , mimi sina mashaka yoyote juu yako mashaka niliyonayo ni jinsi tu unavyonimiss , najua huwa unanimiss sana , unatamani kuwa karibu na mimi muda mwingi zaidi tatizo ni huu imbali wa kimwili lakini kiroho , kihisia na kihuba tuko karibu - usijali kuhusu umbali huu kwa sababu karibuni tu tutakuwa pamoja , tutaamka katika kitanda kimoja na kulala hicho hicho , kujifunika shuka moja , kutumia sahani moja ya mlo na kushirikiana kwa kila kitu - waswahili husema tutakula vyetu . Mpenzi Ukimpenda mtu unatamani kufanya kila kitu ambacho kiko juu ya uwezo wako hata vile ambavyo viko juu ya uwezo wako , mimi huwa napenda kufanya vile vilivyokuwa juu ya uwezo wangu , ingawa wengine kwa ushamba na matatizo mengine huwa wanapenda kufanya yale yaliyojuu ya uwezo wao , nimeona mitaani haswa kwa baadhi ya rafiki zangu akiwa na mwanamke ndio hapo amepata njia za kujipatia malipo zaidi ya kipato chake kwa ajili ...

Njia sahihi ya 7 za kuomba msamaha kwa mpenzi wako.

Image
 Umeshawahi kumkosea mtu na ukashindwa namna ya kuomba msamaha kumaliza tofauti hizo ili kuendeleza uhusiano wenu, kwani mara zote maelewano mabovu hupelekea kuvunjika kwa uhusiano huo, msamaha ndio kiungo pekee kinachoweza kurudisha upendo na amani, Japokuwa watu wengi hawafahamu namna sahihi ya kuomba msamaha ili kusamehewa. Anaweza kuwa rafiki, mpenzi, ndugu, au mtu yeyote ambaye mna mahusiano na ukamkosea kiasi ambacho utahitaji kuomba msamaha, kwa sababu hiyo unahitaji kufahamu namna sahahi ya kusema neno samahani kwa mtu uliyemkosea, hivyo hapa chini nakuwekea namna bora ya kuomba msamaha kwa mtu uliyemkosea. 1.Beba kosa lako na ukubali kuwa umekosea. Watu wengi imekuwa mtihani kukubali kosa na kuomba msamaha kwa kuwaumiza wale waliowakosea, iwe jambo la kawaida kuweka majivuno yako pembeni na kulivaa kosa na kuomba msamaha wa dhati mapema iwezekanavyo kwani kadri unavyozidi kuchelewa kuomba msamaha ndivyo unavyozidi kupunguza nafasi ya kusamehewa, Msamaha wa kweli ni ule amb...

Sifa 10 Za Mwanamke Mzuri Miaka Ya Sasa

Image
 Kwa kuwa wanawake huwa na tabia tofauti tofauti, hatuwezi kusema lazima mwanamke awe na tabia zote hizi ili asomeke kama mwanamke mwenye tabia nzuri. La. Hizi ni baadhi tu ya tabia ambazo mwanamke anaweza kuwa nazo, na nyingine kutokuwa nazo na bado akaorodheshwa kuwa na tabia nzuri. Zama nasi. Baadhi ya sifa nzuri kutoka kwa mwanamke 1. Kusamehe Ni vigumu kuwa katika uhusiano halafu uwe hauna moyo wa kumsamehe mpenzi wako. Kawaida katika mahusiano, huwa kuna changamoto kadhaa ambazo hujitokeza hivyo lazima uwe na tabia ya kuweza kusamehe. Hii inaweza kuanzia kukosana kwa mambo ya kinyumbani, ama mambo mengine yanayofanana. Mwanamke mzuri ni yule ambaye ana uwezo wa kumsamehe mpenzi wake bila kuweka kinyongo. Iwapo mpenzi wako umemshika katika fumanizi nk na bado unampenda, basi jambo zuri la kufanya ni kumsamehe na kuendelea na maisha. 2. Msikilizaji mzuri Mara nyingi migogoro ambayo inatokea majumbani kati ya wapenzi wawili husababishwa na kutosikilizana. Huyu akiambiwa hivi huy...

Nakumiss sana mpenzi.

Image
Wakati mwingine kutazama uzuri wako kwa vitendo kunanifanya nishindwe kusema kabisa. Maneno yananiacha.  Unajua siri za moyo wangu, una ufunguo wa kufungua moyo wangu, na nina hakika hautapoteza kamwe au utatupa!

Uwe na siku njema dear yenye furaha hbd.

Image
Kuwa na wewe katika maisha yangu ni zaidi ya ndoto kutimia: ni muujiza ambao sikuwahi kutarajia. Siku ya kuzaliwa yenye furaha, mpenzi wangu!  Heri ya kuzaliwa kwa mpenzi wangu natika siku yako maalum ni matumaini yangu kwamba kila kitu nzuri huja kwako.

Mchana mwema dear wangu

Image
 Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa? Mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?

I miss you my love.

Image
 Mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana       •·.·°·.·•  Teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzi haiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatane badaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo siku wakigombana wataachana.

UNAMWOMBAJE MPENZI WAKO MSAMAHA?

Image
 KUKOSEA katika maisha ya binadamu ni kawaida. Ni sehemu ya maisha yake. Tena inaaminika kwamba, kukosea ni kujifunza, maana kosa utakalofanya leo ni funzo la kesho. Hii ipo pia hata katika uhusiano na wapenzi wetu, mara kadha wa kadha tumejikwaa na kuwakosea. Hakuna cha ajabu. Ni kawaida kabisa, lakini jambo la msingi hapo ni kwa namna gani tunajifunza kupitia makosa. Ni kwa jinsi gani tunamaliza tofauti hizo. Maana unaweza kuwa hodari wa kukosea au ukawa bingwa wa kusamehe, lakini wimbo huo ukaendelea kubaki hivyo hivyo kila siku. Lakini pia, wapo ambao kwa bahati mbaya, bila matarajio yao wanajikuta wakiwa wamewaudhi wapenzi wao. Ni bahati mbaya na yawezekana kabisa wanaumia sana mioyoni mwao, lakini wakashindwa jinsi ya kumaliza ‘bifu’ hilo katika penzi lake. Siku zote mkosewa hukosa raha, hupoteza hamu ya kukutana na mpenzi wake lakini kubwa zaidi, hujishusha/hukushusha thamani ya mapenzi yake kwako. Lakini mkosewa huyo huyo, akioneshwa kwamba makosa yaliyofanyika hayakuwa ya ...

Mapenzi kwa umpendaye

Image
 Kila mtu anataka kuwa jua linalong’arisha maisha yako, lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wa giza ambapo jua limechwea na haliangazi tena. **** Kama ningeweza kutenga muda kidogo na kuufanya uendelee kung’ara siku zote, siku zote nilizoishi ningechagua wakati nilivyoishi nawe.  

Mchana mwema dear.

Image
Ahsante mpz kwa kujua thaman yangu kwako,nashukuruumegundua hisia zangu mapema naomba unipe hifadh ya kudumu ndani ya wigo wa mtima wako. *°·° ♥ °°* Nakupenda zaidi ya Armasi inayo chimbwa ardhin,sipendinikupoteze nikajutia Moyoni,naitaji nikuenzi,km mboni yng machoni.

Meseji za Tamu.

Image
Niliulizwa juu ya kanuni ya ‘Nyutoni’ na nikasema kuwa sijui. Nikaulizwa ni nani Rais wa sasa wa Marekani lakini sikuwa na uhakika kama ni Clinton au Obama Lakini nilipoulizwa kuwa ni nani ninayempenda, jibu pekee nililolifikiria ni wewe. ***  Mungu ni mwenye busara kwa kuwa hakubandika gharama yoyote juu yako mpenzi. Kama angelifanya hivyo, nisingeweza kuwa na uwezo wa kuwa na mpenzi wa thamani kama wewe.

USIKU MWEMA MPENZI

Image
 Natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema ,lkn yote hayo hayawezekani kwakuwa 2po mbali! Nakupenda dear. Usiku mwema mpenzi wangu, upepo wa khuba ukuliwaze katika wako mnono usingz! nakupenda kutoka kwenye chembe ya kulia ya moyo wangu mkunjufu, ulale unono dia! Nakupend laaziz

HIZI NDIO MBINU ZA KUMUWEZA, MWANAMKE ALIYE MGUMU KUTONGOZEKA

Image
wakati mwingine, vitu huweza kumaanisha zaidi ya tuwezavyo kutamka kwa vinywa vyetu MWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza kumwonesha – japo kwa matendo – kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa naye, hata kama ni kimwili tu. Hatua hii ndiyo yenye changamoto kubwa zaidi kwa mwanamume, maana ndipo wakati anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe kwa mlengwa huku yeye mwenyewe akijihakikishia kuwa haharibu mambo. Mwanamume anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe wa “nakupenda” kwa mwanamke, mapigo ya moyo yanaweza kumwenda mbio, hususan kama mwanamke mwenyewe anaonekana kuwa “maji marefu”. Hata hivyo, ni kazi ambayo kila mwanamume hulazimika kuifanya. Kazi hii ya kufikisha ujumbe kwa mara ya kwanza huhitaji umakini. Bahati njema, shughuli yenyewe ina sayansi yake, ambayo ina misingi katika mahusiano ya kijamii. Ukifahamu sayansi hii inaweza kuwa rahisi zaidi kwako kufikisha ujumbe kwa mtarajiwa wako – na kufanikiwa. 1. KUKUTANISHA MACHO NI MUHIMU Kawaida, mambo yote huanzia...

Heri ya kuzaliwa mpenzi wangu.

Image
Nakutakia kila la heri kwenye siku yako ya kuzaliwa. Mei mwaka huu uwe mzuri kama inashangaza! Asante kwa kuzaliwa! Heri ya Siku ya Kuzaliwa!  Nakutakia siku njema ya kuzaliwa, kwa sababu wewe ni mtu ambaye anamaanisha mengi kwangu na ambaye ninathamini sana. Sherehe rahisi, mkusanyiko wa marafiki, wanaokutakia hapa furaha nyingi na furaha isiyo na mwisho.

Heli ya siku ya siku ya kuzaliwa dear

Image
 Siku hii iwe ya jua kama tabasamu lako, na nzuri kama wewe. Unaangaza kila siku, lakini siku hii utaangaza zaidi. Heri ya Siku ya Kuzaliwa. Sijawahi kukutana na mtu mtamu kama wewe. Siku hii, tunasherehekea utamu wako kwa kula keki tamu na kunywa divai tamu. Unafanya maisha yangu kuwa ya thamani. Unaleta tabasamu usoni mwangu, na mguso wako unanionyesha jinsi unavyonipenda na kunijali. Wewe ni rafiki yangu na mpenzi wangu. Heri ya Siku ya Kuzaliwa..

Omba radhi kwa mpenzi na sms hizi.

Image
 "Kuomba msamaha sahihi kuna sehemu tatu: 1) Kile nilichofanya kilikuwa kibaya. 2) Ninajisikia vibaya kwamba nimekuumiza. 3) Ninawezaje kuboresha hii? ”   Nakiri kweli nimekukosea naomba wako msamaha kwa yote yaliyotokea hakika nimekukwazalakini kwa hakika hii ni mara yangu ya kwanza naamini,naamini utanisamehe laaziz na kunipa nafasi ya kulienzi lako penzi.  Unajua nakupenda ila tu umeamua kunitenda rudisha moyo nyuma kasha twende sambamba mapenzi yanavyokwenda.

Fahamu Vitu Hivi Mwanaume Anavyokupima Kujua Unafaa Kuolewa Au Ni Hit And Run.

Image
 1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa tu, so wewe ujiongeze. 2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo. Anakutest aone kama utasema "Acha baby, ntakufulia mpenzi wangu". 3. Ukikuta kwake amefanya shopping ya vyakula vya kupika kama unga, mchele, na vingine halafu akakwambia mwende ule mgahawa fulani mkapate dinner usidhani eti ana hela kibao ya kutumia! Anakutest aone kama utamwambia mbaki kwake mpike mle. Uko chumba cha mtihani! 4. Siku kakuahidi kukutoa out halafu unafika kwake unakuta kajikunyata kama mgonjwa anakwambia mama ake kapiga simu anaumwa anaomba atumiwe hela. Halafu anakwambia hela aliyo nayo na ukipiga mahesabu unaona ni kama ile ya kutumia mkiwa out. Anakuomba ushauri afanyaje. Wewe unamwambia "Baby twende out, suala la mama nina uhakika kaka zako na dada zako watalishughulikia, atawapi...

Lala salama mpenzi mpenzi.

Image
 Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu ni shiba biriani yazidiwa. Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. Usiku mwema  Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale,kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uote ndoto nzuri. usiku mwema!  

Nakupenda mpenzi.

Image
 Upendo ni tiba maradhi hukimbia, salamu ni shiba buriani yazidiwa, kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kukusalimia. Usiku mwema kipenzi cha Moyo wangu. Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, ni vingi umejaliwa vinavyouvutia Moyo wangu. Ama hakika uzuri wako umethibiti matamanio yangu. SINTOPENDA MTU MWINGINE ZAIDI YAKO.  

I miss you.

Image
 Unayo sauti tamu, nyoka kutoka pangoni, Mejaa mashamshamu, utamu masikioni, Huniletea wazimu, kusisimuwa moyoni, U pekee duniani. Una rangi asilia, yang'ara kama dhahabu, Rangi iliyotulia, wengine yawapa gubu,Sichoki kukusifia, wewe ndo wangu muhibu, U pekee duniani. Macho kama ya gololi, na mapole kama njiwa, Sifa wazistahili, kwani umebarikiwa, Leo nasema ukweli, wanifanya kunogewa, U pekee duniani.

MESEJI ZENYE KUVUTIA ZA MAPENZI.

Image
  Upendo uso kipimo, wewe nimekupatia, Moyo unalo tuwamo, raha naipata pia, Kwenye moyo wangu umo, raha yangu ya dunia, Siogopi kukupenda, hata watu wakisema. Wenye kusema waseme, waseme hadi wachoke, Roho zao ziwaume, ziwaume wakereke,Mioyoni ziwachome, wachomeke wakauke, Siogopi kukupenda, hata watu wakisema. Wenye wivu uwashike, uwashike uwagande, Zaidi wahuzunike, wahuzunike wakonde, Chakula kisiwashuke, wacha mie nikupende, Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.

Nisamehe dear.

Image
  Kuna njia kadhaa za kufanya amani na msichana, unaweza kuchagua yoyote kati yao, au yote mara moja, ni juu yako: *Njia ya kwanza ni banal. Kweli, hii sio njia ya upatanisho, hii ndio mwanaume anapaswa kufanya mara kwa mara - mpe mpenzi wako bouquet kubwa rangi. Bila shaka, ikiwa hujawahi kufanya hili au umefanya mara chache sana, njia hii inaweza kuchukuliwa kuwa jaribio la upatanisho. Lakini ikiwa ugomvi ulikuwa mkubwa, na umemkasirisha sana mpenzi wako, basi chaguo hili litakuwa dhaifu. Uwezekano mkubwa utapata bouquet hii kwenye uso. Je, unaihitaji? *Njia ya pili haiwezi kuitwa ya awali, lakini hata hivyo ni ya ufanisi zaidi kuliko ya awali. Kuwa na chakula cha jioni cha kimapenzi cha mishumaa. Hapa, hata hivyo, shida zingine zinaweza kutokea, kwa mfano, jinsi ya kumfanya msichana aje kwenye chakula hiki cha jioni ikiwa hataki hata kuzungumza nawe. Tena, njia hii inafaa tu kwa ugomvi mdogo. Kwa hiyo, chini na "banality", ni muhimu kutenda kwa njia ya awali. *Ikiwa wewe n...

Heri ya siku ya kuzaliwa my sweetheart.

Image
  Nakupenda sana leo kuliko jana, lakini hata sehemu ya kumi ya kile nitajisikia kesho. Siku ya kuzaliwa yenye furaha, mpenzi wangu! Jambo rahisi zaidi nililowahi kufanya ni kutokupenda. Imekuwa ikikaa katika upendo na wewe tangu wakati huo. Furaha ya kuzaliwa! Nakupenda. Heri ya kuzaliwa kwa mtu maalum ambaye analeta furaha nyingi moyoni mwangu. Ninashukuru kwa kila wakati tunaotumia pamoja, na ninatamani furaha yetu isiishe.

Nice night dear

Image
 Nakutakia usiku mwema kwako wewe wangu kipenzi,uote njozi njema,na uniote nami pia., usiku huu uwe wenye baraka kwako nami dua kukuombea,malaika wa kheri wazunguke kitanda chako.usiku mwema. …………  Mapenzi ni kama mti huchanua yanaponyeshewa,hunawiri yanapolelewa,na hutoa matunda pindi yanapo thaminiwa,gharama la tunda litokalo mtini hapo hutegemeana na ubora wake.nasi tulifanye penzi letu liwe bora,na lenye kuthaminiwa.

Mambo 8 mwanamke anapaswa kufanya kabla ya kufunga ndoa

Image
 Kufanya mambo haya kutakupatia maarifa na kukufanya uwe na uwezo wa kufanya uamuzi bora zaidi maishani. Ni jukumu lako kama binti asiye katika uhusiano kufanya mambo mazuri zaidi maishani kabla ya kufunga ndoa. Kufanya vitu hivi kutakusaidia kuwa mwerevu zaidi na kujua mambo unayo na usiyo paswa kufanya. Soma makala yetu ya mambo ambayo mwanamke anapaswa kufanya kabla ya kuingia katika ndoa! 1. Jifunze jinsi ya kupika Tofauti na imani za watu kuwa kila mwanamke anapaswa kujua kupika ili ampikie bwana yake, kujifunza kupika kwa mwanamke kuna umuhimu tofauti. Ukiwa peke yako bila mchumba, una wakati mwingi, kwa hivyo katika wakati huu, utaweza kujipikia vyakula vinavyo kufurahisha zaidi. Pia, unapo pata wageni utaweza kuwa burudisha na ustadi wako wa mapishi. 2. Fanya vitu vinavyo kupendeza katika wakati wako wa ziada Unapokuwa peke yako, una wakati mwingi wa mapumziko, ni vyema kufahamu vitu unavyo vipendelea, katika wakati huu, utaweza kuvifanya badala ya kubaki kwenye nyumba ama ...

Usiku mwema dear

Image
 Habari babe, ninazungumza na wewe, nilitaka kusema usiku mwema na ninakupenda, usifanye kubembeleza mito, niko hapa nyumbani kwangu! Ikiwa unahisi upweke usijali. Niko hapa kukusumbua kila wakati. Sasa lala vizuri. Usiku mwema mpenzi. Kuwa na ndoto ya kutisha ya ajabu!

mapenzi na mahaba+

Image
Kanuni za kudumisha “PENZI” Milele. 1.Ukipenda ucpende tena. 2.Penda kwa dhati.3.Mheshimu Mpenzi wako. 4.Kuwa mvumilivu 5.Mjali umpendae 6.Jivunie kuwa nae 7.Ucmfiche jambo 8.Ucpende achukie 9.Unapokosea omba radhi.10.Uckubali kumpoteza (ukifanya hivyo mtapendana milele) nakupenda Sana. ……………   Röhö håinå furaha sababü  ya ükimyä wåkö,näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä salam yäkö,håkikå nitäfürähikä kuijuä häli yåko “ümzima”?.

Upo kwenye akili yangu.

Image
 Unaweza kuwa nje ya macho yangu, lakini si nje ya moyo wangu. Unaweza kuwa nje ya uwezo wangu, lakini si nje ya akili yangu. Sina maana kwako, lakini utakuwa maalum kwangu kila wakati. Nakupenda sana moyo wangu una uhakika. Kadri muda unavyosonga nakupenda zaidi. Tabasamu lako la furaha, Uso wako wa upendo, Hakuna mtu atakayewahi kuchukua nafasi yako.

NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

Image
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU" Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU.

Image
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si mtumaji. Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili, nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamoja nawe nimelipata.

Meseji nzuri za kumtumia mpenzi wako.

Image
  Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe  sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya  ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!  “NAKUPENDA MALAIKA WANGU”  Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi  umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama  hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA  MWINGINE ZAIDI YAKO”           Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani  nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi  kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali  hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

Ujumbe wa Siku ya Kuzaliwa kwa demu wako.

Image
 Mtoto, wewe ni malaika katika maisha yangu. Tufurahi kwa maana hii ni siku ambayo Mungu amekutuma duniani ili tuwe pamoja. Siku ya Kuzaliwa yenye Furaha! Wewe ni jambo la ajabu sana ambalo limewahi kunitokea maishani. Siku ya kuzaliwa yenye furaha, mpenzi wangu! Ninapenda kila kitu kukuhusu, kutoka kwa macho yako yanayometa na tabasamu nzuri hadi moyo wako mwororo, wa upendo na roho yako - mara mbili katika siku yako maalum. Furaha ya kuzaliwa!

Jinsi ya kumtongoza mwanamke kiurafiki.

Image
 Wakati unapotongoza mwanamke huwa kuna vitu viwili; aidha unatongoza njia sawa ama unatongoza kwa kubahatisha. Njia yeyote katika hizi mbili utakazozichukua, mwanamke atafahamu ya kuwa unajaribu kumpendeza na anajua unataka kutoka naye deti. So matumaini yako hapo ni kuona ya kuwa mwanamke kama huyu anavutiwa na wewe bila kukukatiza tamaa. Ok, unless huyu mwanamke anatafuta mchumba wa kudeti ama anatafuta mwanaume wa kujikeep naye buzy, kuna nafasi kuu akigundua ya kuwa unabahatisha kumtongoza, papo hapo atakuzima na kukuonyesha dalili za kuwa hakupendezwa na njia yako ya kujaribu kumuapproach. [Soma: Siri zilizofichwa jinsi ya kumvutia mwanamke] Jinsi ya kutongoza mwanamke kiurafiki Akikukataa najua unaweza kuingiwa na misongo ya mawazo kutaka kujua kwa nini amekukataa. Unaweza kusumbuliwa na jambo hili kwa muda mrefu. Lakini kama kawaida, kutongoza mwanamke huwa ni bahati nasibu, anaweza kukukubali ama kukukataa. Well, leo nimeamua kuja na mbinu tofauti ya kutongoza mwanamke. Hi...

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Acheke

Image
  Ushawahi kujiuliza kwa nini wanaume wacheshi huwa wamebahatika kupendwa na wanawake wengi? Imebainika kuwa wanawake hupenda wanaume wacheshi kwa sababu wanawake wanayataka maisha yao yasionekane ya taabu yani wayaone maisha yao yawe ya furaha wakati wote. Ukiuliza watu ambao wanaujuzi wa kumfanya mwanamke acheke, utaskia wakikuambia kuwa ucheshi ni silaha kuu kwa mwanamke yeyote. Hii ndio unaona wengi wao huwa wanafukuzwa na wanawake wengi. Vitu unafaa kufanya Kama wewe hauna uwezo wa kuwa mcheshi usiingiwe na shaka kuwa itakuwa vigumu kwako. Habari njema ni kuwa kuwa mcheshi si lazima uwe na ujuzi wowote ule. Kile ambacho unahitajika ni kufuata mbinu ya uhakika ambayo itamfanya mwanamke yeyote kuweza kutabasamu pindi atakapokuwa na wewe. Kujifunza ujuzi huu wa kumfanya mwanamke acheke si jambo gumu kwako kufanya. #1 Usiwe mtu ambaye anatabirika kwa urahisi. Mtu ambaye anatabirika wakati anapojaribu kufanya ucheshi huwa anaboa sana. Hii inatokea wakati ambapo unapotumia maneno am...

Nisamehe dear

Image
 Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu! ........... Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhati penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.