Posts

Showing posts from June, 2022

NAKUOMBA USINIACHE MPENZI.

Image
Ningependa nikwambie neno ambalo halina gharama na likitumiwa vibaya halina maana wala thamani neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu linatokea bila kujua na halina sababu neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndio linatufanya tuwe pamoja japo tupo kasi na kusi nakupenda sana dear Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKUOMBA USINIACHE MPENZI

SMS NZURI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA UMPENDAYE.

Image
 Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu! Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!

Uwe na siku njema dear.

Image
Pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.  Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe siwezi kuipeza,nakupenda wewe pekee.

Halla siku ya kuzaliwa my dear.

Image
 Asante kwa kuwa sehemu ya maisha yangu katika kila moja ya miaka hii. Kwa sababu yako, ninaweza kutumia maisha yangu kikamilifu. Nakutakia furaha zote kwenye sayari leo. Furaha ya kuzaliwa! Halo, Siku ya Kuzaliwa Njema kwako! Ninaamini unapata zawadi nyingi za kushangaza na kula keki nyingi ya kitamu leo! Kurudi kwa furaha kwa siku hiyo.

Nakukumbuka.

Image
Pendo lako ni sawa sawa Na dhahabu ya upendo pembezoni mwa bustani ya uaminifu, ujasiri Na uvumilivu katika maisha yeti ya kimapenzi.  Wivu moyoni mwangu unaunguluma, kwasababu uko mbali nahisi naibiwa , usipo pokea simu yangu nahisi kunajambazi.

SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako.

Image
  Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda fulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, ni huyo ni mimi mara zote nakujali.   Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, na uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasi  ninavyotamani kuwa nawe sasa.

Nakupenda.

Image
 Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi "Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe" nakupenda laazizi "Kama mimi nilikuwa na maua kila wakati mawazo yangu yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla yako je wewe ungekuwepo nayo ungempa nani kwanza? "  

Ujumbe Wa Siku ya Kuzaliwa na Heri kwa Rafiki

Image
  . Mimi na wewe tunashiriki kifungo ambacho hujengwa kwa upendo na heshima kwa kila mmoja. Leo ninahisi furaha sana kwa sababu ni siku yako ya kuzaliwa! Kila la heri kwako! Ninaweza kuwa nimechelewa kidogo kuwatakia heri ya siku ya kuzaliwa, lakini msisimko kwangu ni kama ilivyokuwa jana. Kwa sababu ni siku ya kuzaliwa ya rafiki yangu mpendwa!

Njia 4 za Kumtongoza Mwanamke na Asikukatae

Image
 Kujifundisha jinsi ya kumuapproach mwanamke kwa mara ya kwanza si jambo gumu la kufanya kama utafuata kanuni na masharti na kuyahifadhi baadhi ya michongo kwa moyo. Michongo ni maneno ya kwanza ambayo mtu hutumia kuanzisha maongezi na mwanamke. Maneno haya ndio mara nyingi hutumiwa na wanaume mara yao ya kwanza wanapomshobokea mwanamke. Ukiitumia vizuri michongo itakupa wewe nafasi ya kumvutia mwanamke kwa uharaka zaidi. Ingawa wanaume wengi hutegemea zaidi bahati ama kukosa, hauwezi kamwe kufaulu kumridhisha mwanamke iwapo hujui kuipanga michongo yako vizuri pindi unapokutana na mwanamke unayemzimia kwa mara ya kwanza. Ok. Kukusaidia kujipanga vyema,  tumeweza kuiorodhesha baadhi ya michongo iliyowazi na iliyofunge na jinsi ya kuitumia. Aina ya michongo -wazi na funge Unaweza kumuapproach mwanamke bila wasiwasi kwa kutumia michongo aina mbili -wazi na funge. Michongo ile mizuri zaidi inakuwezesha wewe kuonekana kujiamiani, mcheshi na kuonekana mtu anayevutia zaidi kuwaliko w...

Nakupenda baby upo poa lakini mchana huu.

Image
Kwenye ubongo  nimekusevu “I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonae  nasema “NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,every  “SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok.  Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, RAha ya ndege mpunga na wala sio majani, Raha ya ndege kuruka na kuimbia angani, Ndege salam nakupa zipeleke kwa makini, iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka ingia mpaka ndani, mwambie namkumbuka japo kuwa simuoni.

Usiku mwema dear.

Image
 Usiku mwema mpenzi wangu, upepo wa khuba ukuliwaze katika wako mnono usingz! nakupenda kutoka kwenye chembe ya kulia ya moyo wangu mkunjufu, ulale unono dia! Nakupend laaziz  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema ,lkn yote hayo hayawezekani kwakuwa 2po mbali! Nakupenda dear.

Mapenzi yanauma vibaya

Image
 Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii nafasi moyo umekuchagua . Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz!    

Nakumiss sweetie

Image
  Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu”siku njema Hny. Röhö håinå furaha sababü  ya ükimyä wåkö,näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä salam yäkö,håkikå nitäfürähikä kuijuä häli yåko “ümzima”?.