SMS KALI ZA MAPENZI KWA AJILI YA MPENZI WAKO.!!

 IJUE SIRI NA MADHARA YA WAPENZI KUPIGA PICHA ZA UTUPU ! | JamiiForums

Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Dunia
tofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja,
hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha
hayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitaji
kuishi nikumbuke mimi.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu
nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila
nikijitahidi unaipoteza akili yangu

Comments

Popular posts from this blog

MESEJI ZA MAPENZI KWA MPENZI WAKO.