Posts

Showing posts from June, 2021

mtakie mpenzi wako siku nema ya kuzaliwa kwa sms hizi

Image
 *Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe. hbd mpenzi wangu '''''''''''''''''''''' *Niliulizwa juu ya kanuni ya ‘Nyutoni’ na nikasema kuwa sijui. Nikaulizwa ni nani Rais wa sasa wa Marekani lakini sikuwa na uhakika kama ni Clinton au Obama Lakini nilipoulizwa kuwa ni nani ninayempenda, jibu pekee nililolifikiria ni wewe. mungu akujalie maisha malefu '''''''''''''''''''''''''''''''

muombe msamaha mpenzi wako:

Image
Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• maneno million  haliwez kulirudisha pendo lako najua kwasababu nimejaribu,pia machozi million haliwez kulirudisha najua kwasababu nimelia.

mvutie mpenzi wako kwa sms hizi;

Image
Kwenye ubongo nimekusevu i love you na moyoni nimeandika only you na kila nimuonae nasema no one like you wala siogopi kusema i'm crazy for you every second ithink about you so napenda uamini me for you nicetym my dear mwaaaaaa pls kiss 4 me ok Mapenzi ni safari :unifanye nauli ya moyo mapenzi ni maradhi:unifanye daktari nikutibu maradhi yako mapenzi ni kiu :niwe maji ya jangwani mapenzi chakula:nikulishe maishani mwako na uwe asali ndani ya moyo wangu

MTU WANGU HAKIKISHA SMS HIZI KALI HAZIKUPITI

Image
"Hakika najutia kwa mambo unayonifanyia, nilijitoa kwa moyo wote na mwili wangu kukuachia chochote utakacho kunifanyia ruhusa nilikupatia nikiamini utatulia kumbe kunichezea ilikuwa yako nia, umetimiza sasa waniringia. Asante na Mungu atanisaidia , kilio changu tena hutosikia . Stay blessed " Hakika raha wajua kunipatia, fimbo wajua kuitumia sharti mtoto wakike nabaki nagugumia kwa raha unayonipatia ambayo wengi wanaililia , plz utamu wangu nitunzie!

kama upo mbali na mpenzi wako mtumie sms hizi

Image
  "Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,  ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima. "Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu,     njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.

sms kali za asubuhi njema.

Image
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna      anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri. Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe. Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane

Ukimtumia mpenzi wako msg hizi atafurahi sana

Image
" Nobody tells fish to swim, birds to fly, cows to moo, dogs to bark - they just do. Just like nobody tells     me to remember you. I just do! "Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda fulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, na huyo ni mimi mara zote nakujali .

KABLA HUJALALA MTUMIE MSG HIZI

Image
*  Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKU OMBA USINIACHE MPENZI *wewe ni wapekee ninaye kupenda sifikirii kukusaliti na wala sina wazo La kukutenda nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu

UWE NA MCHANA MWEMA MPENZI

Image
*  Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi, sababu we ndo wangu kipenZ, na sina mwengine lahazz. *Salaam ni 1,nuru humfariji aliye na huzuni 2 ni jahazi huvusha aliye ng’ambo 3,pia ni nuru huangaza gizani, wewe ni lulu yangu nakupenda xana,

USIKU MWEMA MY LOVE.

Image
 Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema mpenz Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria, nakumiss dear fanya hima nyumbani kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda dear

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI ULIEMKOSEA.

Image
  Tukae kimya sheteni apite, naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa sheteni ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!

Mbinu 5 Za Kujeuza Mwonekano Wako Wa Mwili Ili Ujeuke Sumaku Kwa Wanawake.

Image
 Ok. Mmoja wa watembeleaji wa NESIMAPENZI.com kutoka Rwanda alitutumia meseji akitueleza kuwa kuna mwanamke anamfukuzia kila siku lakini ameshindwa kufunga mchezo. Amejaribu kufuata miongozo na maelekezo ya post zetu lakini hajafurahishwa na matokeo. Baada ya kumhoji na kumuuliza maswali tulikuja kugundua kitu flani; alikuwa akilipuuza swala la mwonekano wake wa mwili. Katika posts zetu za awali tumekuwa tukisistiza ya kuwa mwonekano wako si muhimu sana wakati wa kutongoza. Lakini je ukipatana na mwanamke ambaye kila wakati unapojaribu kumtongoza na kumshawishi anakuwa na maringo? Jeuza na kuongeza mwonekano wako wa mwili ghafla! Well, najua wakati ambapo unaaproach mwanamke mara ya kwanza fikra inayokuja ya kwanza ni kuwa mwanamke kama huyu asikuhukumu na vile ulivyovalia ama mwonekano wako bali aangalie tabia na maneno yako matamu ambayo utakuwa ukimwambia. Lakini kwa bahati mbaya ni kuwa wanawake wachache mno ambao wataangalia tabia yako, wengi huangalia mwonekano wako. [Soma: J...

Ishara 9 Za Kutambua Kama Mpenzi Wako Anakukontroli.

Image
Kukontrol mtu ni ile hali ambayo mtu hawezi kuwa na maamuzi yake ya kibinafsi bila ya kumshirikisha mwingine, kila kitu ukitaka mtu akufanyie anafanya bila kuuliza swali lolote. Katika machapisho yetu ya awali ya Sanaa Ya Kutongoza hapa kwa blog yetu ya Nesi Mapenzi, tulilizungumzia hili swala la kukontrol wanawake kwa kina. Tukaona manufaa yake kwa mwanaume yeyote. Lakini pia sanaa hii ya kukontrol mtu inatumiwa na wanawake, na mara nyingi mbinu hii wanaitumia kifioa kiasi cha kuwa inakuwa vigumu kwa mwanaume kutambua kama mpenzi wake anamkontrol. Tatizo baya la mwanaume kuweza kukontroliwa na mwanamke ni kuwa atajeuzwa kuwe bwege na maisha yake yatakuwa ni magumu. Mfano hatakuwa na uwezo wa kumwambia mwanamke chochote hata kama anakosea na mbaya zaidi kutokea ni ile hali ya kuwekwa kwa chupa. Lakini kabla haya yote hayajatokea, leo tumeamua kuja na mbinu za kutambua ishara ambazo zitatoa ufahamu ujue kuwa mpenzi wako anakukontrol au la.Zama nasi... #1 Wakati wowote mnapokosana, ni we...

Siri 15 Za Kumfanya Mwanamke Yeyote Akupende.

Image
 Kutongoza mwanamke wakati mwingine inaweza  kuwa na tatizo. Hizi hapa ni mbinu na ujanja 15 za jinsi  ya kutongoza wanawake na wafall na wewe. Tumeshapitia hapo. Kuna yule mwanamke mrembo ambaye umekufia naye na unahamu ya kutaka kumjua. Lakini kuna lile tatizo linajitokeza ambalo linakufanya ushindwe kuongea na yeye uso kwa uso. Unatamani kuwa na uwezo wa kumuapproach ili umsome akili yake na umwambie yale yote yaliyo moyoni mwako. Hapo hapo, ijapokuwa kutongoza mwanamke huwa inakuja automatic kwa baadhi ya watu, kwa wengine inawafanya wajihisi wako katika hali ngumu. Yale mawazo tu ya kumuapproach mwanamke yakiwajia wanaanza kutokwa na kijasho kwa mikono, midomo inakauka, na unaanza kuongea kama kigugumizi unapotamka maneno – yaani inakuwa mbaya kujieleza na si vizuri itokee kwa mwanaume yeyote. Habari njema ni kuwa unaweza kujifunza njia za kutongoza, na ufanye mazoezi ya kutongoza hadi ujihisi kuwa umejiamini na tayari kuandama msichana unayempenda. Na kwa hilo, tume...

SMS Za Mapenzi Ambazo Zitamnyegeza Mpenzi Wako

Image
 * Nikiwa na wewe ubavuni mwangu na penzi lako likizunguka moyo wangu, naweza kufanikiwa na     chochote. Unanipa nguvu na nishati ya kukabiliana na chochote. Nakupenda kwa moyo na roho yangu. * Bila penzi lako katika maisha yangu, maisha yanakuwa ya upweke na kiza. Wewe ndie unayeleta     mwangaza na rangi ya upinde kwa maisha yangu, hata kama ni nyakati za mawingu. Asante sana mpenzi wangu. *Furaha inapulizwa katika maisha yangu wakati unaponitabasamia. Unapoongea, sauti yako ina nguvu ya    kunipeleka sehemu ambayo kuna upendo na amani.

Meseji Za Mapenzi Kwa Umpendaye

Image
* Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa m hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear? *Mpenzi nime ku miss jamani, sipati meseji wala simu sijuwi kwa nini, nikikumbuka hunayofanyaga,   natamani ungekuwa nami pembeni nakunipa mahaba ya siyo kifani . nakupenda si utani hani. *Mambo yako adimu ndiyo yanayonipa wazimu, nikuonapo hupatwa hamu, hutamani unipatiye wako     utamu, la azizini lini utakuja kunitoa hamu, hakika nimemiss wako utamu na kwa kuupata sifahamu   maana ni wewe tu ndiyo mtaalamu. Miss u

Ujumbe wa siku ya kuzaliwa kwa marafiki wako

Image
* Heri ya siku ya kuzaliwa mpenzi wangu, kila kitu kikubwa katika ulimwengu kinafaa katika mwanga wa taa, kama maisha katika sekunde ya milele ikiwa nipo na wewe. *Njoo kusafiri na mimi kwenye siku yako ya kuzaliwa kutoka mwisho hadi mwisho, njoo kuchunguza mwili wangu, milango yangu na madirisha yangu, na uje kuchunguza tumaini langu, ili uweze kuanza asubuhi ya leo hapa kwenye kifua changu.

Happy Birthday Text Messages & Wishes

Image
  May you have a wonderful day, and may the year ahead be filled with love, joy, and happiness. Happy Birthday! There is no other day like today; it is a beautiful and lovely day in your life. I wish that your life blossoms forever.  I wish you a happy birthday.

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema

Image
- Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu Ndilo sababu ya nguvu yangu Tangulia pembeni mwa macho     yake Asubuhi hii hadi usiku ujao. -Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe Uwe na Asubuhi Njema My love

Sms Za Asubuhi Njema

Image
 -Sitachoka kukukumbusha jinsi ulivyo maalum kwangu. Asante sana kwa kuwa katika maisha yangu. Habari za asubuhi nakupenda. -Upendo bora ni ule unaoamsha roho, ambao hutufanya tuweze kufaulu zaidi, ambao huwasha moto mioyoni mwetu na kuleta amani mawazoni mwetu. Hiyo ndio ninayotarajia kukupa milele. Upepo unaobembeleza uso wangu asubuhi unanifanya nikufikirie. Jua kwenye ngozi yangu linanikumbusha wewe. Hata ndege wanaimba nyimbo zao nzuri hunifanya nikufikirie wewe.

SMS ITAKAYO MFANYA MWANA MKE AKUTAMANI..

Image
  Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda. Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza. Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi. Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutatoa picha am...

I LOVE MY

Image
  Luv is like a cloud... luv is like a dream... luv is 1 word and everything in between... luv isa fairytale come true... Coz I found luv when I found U. Happy Valentines Day! If you love someone put their name in a circle not a heart because hearts can break but circles go on forever.

UWE NA USIKU MZRI MPENZI (SMS)

Image
 Nina mambo saba ya kukuambia, lakini kwa sasa nakumbuka 6 tu, bila shaka matano ndiyo muhimu kwa leo, ila unayopaswa kuyajua ni manne kwa sasa, oooh usijali nitakwambia matatu tu, ila kwa jinsi ulivyo naona nianze na mawili muhimu ambayo yatakugusa sana, kwa kuwa sipendi kukuumiza naomba niseme neno moja.Usiku mwema   Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia. Wala si kimya kinachotawala mazingira, bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio, nakutakia usiku mwema.

Nimekumisi mpenzi wangu ( sms)

Image
 I love hugging you but I hate letting go. I love saying hello to you but I hate saying goodbye. I love watching you come towards me but I hate watching you walk away. I miss you.           #------*------*------*------# Upendo ni tiba maradhi hukimbia, Salamu ni shiba buriani yazidiwa,Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia,Kwa furaha na mahaba sitochoka kukusalimia,Za saa hizi kidani cha moyo wangu..................................???                                                     &-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-&

sms asubuhi njema my

Image
Kila asubuhi, upendo wangu kwako unakua. Kila siku inayopita, ninahisi kuwa ninakaribia karibu na wewe. Nakuhitaji asubuhi, kila siku. Wewe ndiye upendo wa ndoto zangu. Habari za asubuhi! Kuangalia moja tu uso wako mtulivu na utulivu wote kutokuwa na usalama kwangu kunavuka, vizuizi vyangu vyote huondoka na ninahisi amani kwa kukutazama tu. Kuwa na asubuhi nzuri! Wewe ndio sababu pekee kwanini nilianza kuamini malaika, hadithi za hadithi na ulimwengu wa kichawi. Sasa najua kwamba ndoto kweli hutimia. Habari ya asubuhi mpenzi!

Love message

Image
WALI hunogeshwa kwa nazi, mchuzi hunogeshwakwa viungo, pilipili hunogesha kachumbali, utamu wa jamu na asali hunogesha ladha ya mkate, blue band hupendezesha uji wa mtoto, penzi letu linanogesha maisha yetu.   Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia mafanikio mema kwasababu nakujali. ****

Nini cha kufanya mpenzi wako anapokuwa kakukasilikia.

Image
  Kutofautiana katika mahusiano si jambo jipya na geni kwa yeyote ambaye tayali yupo katika mahusiano ya kimapenzi, na inapotokea hali hii katika mahusiano, wengi hujikuta wakikosa furaha na kuumizwa na namna wanavyopata upinzani toka kwa wenzi wao kwa maneno makali na pengine kwa kutokupewa ushirikiano wowote katika jitihasda za kurejesha mahusiano mazuri kama ilivyokuwa awali. Nimekuwa katika hali hii mara nyingi na kila nilipojaribu kumshawishi mpenzi wangu alipokuwa kanikasilikia sikupata mafanikio mazuri mapema. Na zaidi mambo yanakuwa mabaya zaidi pale ninapojaribu kutafuta muafaka. Tukiwa katika kutokuelewana na mpenzi wangu, siku moja jioni baada ya kazi za siku nilimkuta mpenzi wangu kanuna zaidi ya vile nilivyomwacha asubuhi kwa sababu za kutofautiana kwetu, nilikuwa nimechoka sana na sikutaka kutibua hasira zake zaidi kwa kujaribu kumwomba mwafaka, kwani nilijua kwa kufanya hivyo ningeharibu zaidi na kujikuna nazua yasiyozulika. Akili yangu ilitamani tu kujiburudisha na ...

Nisamehe mpenzi kwa (sms) hizi

Image
-Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi,sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwakomi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenzampenzi nitunziye langu penzi!,, -Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, watakakuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzitambua nahitaji yako hifadhi na niko radhikukupeleka hadi kwa wangu wazazi, aminikwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.,

SMS NZURI KWAYULE UMPENDAYE KWA DHATI YA MOYO WAKO

Image
  Sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako. Wewe ni wa pekee maishani mwangu. Mwenye kujua hisia moyoni mwangu. Mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi. Nakupenda kipenzi.

NAKUPENDA SANA LAAZIZI

Image
  Naukunjua moyo wangu uishi milele maishani, nafungua nafsi nikupende wewe pekee, nafunga milango ya moyo wangu ili kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi. Nakupenda sana laazizi ♥●´¯`´¯`●♥¡¡♥●´¯`´¯`●♥

SMS TAMU ZA USIKU MWEMA

Image
  Mimi si Milionea, ila TAJIRI  wa MOYO MKUNJUFU!  Mie si zaidi,   ila nafanya NIWEZALO!  Sifanyi  sahihi kwa kila jambo,ila kwa hili   nipo sahihi Kukutakia usiku mwema.  …………………………..  kila kilicho “”MOYONI”” si rahisi kukitoa,Akuthaminie Hukuona “”GHALI””,akukumbukae juwa amekuhifadhi “”MOYONI”” na “”AKUNPENDAE”” Hachoki Kukuombea “”MEMA ucku  mwema  hny. 

Zijue SMS Za Birthday Za kumtumia Mpenzi wako Au Rafiki

Image
Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wakwe zangu,  unajua ni kwa nini? Ni siku waliyokuleta kwenye hii dunia,  happy birthday mpenzi! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi  akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,  pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,  nakupenda la azizi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI ULIEMKOSEA

Image
 Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene!

ANZA SIKU NA MSG HIZI TAMU

Image
  Wewe ni asali nami ni haluwa penzi letu ni ghali si lakununua japo upo mbali lakini penzi letu linazidi kuchanu ####################### Najua moyo wangu umekuchagua wewe na kukutumia zawadi hii ili uwelewe kwamba nakupenda sana nakujali zaidi nakudhamini kuliko nakutakia kila lakheri pamoja na dua njema SIKU NJEMA SWEET ++++++++++++++++++++++++++

UTAZIPENDA SMS HIZI ZA MAPENZI.

Image
  If I had the letters "HRT", I can add "EA" to get a "HEART" or a "U" and get "HURT". But I'd rather choose "U" and get "HURT" than have a "HEART" without "U". If you're feeling lonely and you think there is nobody there to love, support, listen or show they care, just save this message and every time you realize it, it will remind you that a part of me is always there with you.

SMS 2 ZA KUVUTIA KWA MPENZI WAKO

Image
  Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKU OMBA USINIACHE MPENZI ###################### wewe ni wapekee ninaye kupenda sifikirii kukusaliti na wala sina wazo La kukutenda nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu ######################

BORESHA PENZI LAKO KWA SMS HIZI NZURI

Image
  Ooh my ,,,,,,hivi ni kweli umebanwa na kazi au unaniwekea pozi mawasiliano yalikua ayaishi tulipo lianza letu penzi Leo si cm wala sms nizipatazo kwako mpenzi hakika unipendi siku hizi enewei sina jinsi zaidi ya kumshukuru mwenyezi ++++++++++++++++++++++++++ Mpenzi hakika ningekupa ila talehe mbaya zimefika aliyahewa imechafuka vumilia wikiendi ijayo nitakupa na pupa mbivu zako nitakupa hakunamwingine wa kumpa lov u

nimekumiss my

Image
  Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!

UJUMBE WA MAPENZI WA KUMTAKIA USIKU MWEMA

Image
NISEME nini ili ujue kamanakupenda? Nifanye nini ili utambue kama nakupenda?Nikuite jina gani ili ujue uko peke yako moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niaminimpenz!   NALIA ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona, najuta ninapokuudhi, naumia unaponitenga, nateseka ukiwa kimya, nafulahi ukinikumbuka. Nakupenda mpenzi, niondolea jaka moyo.

Happy Birthday my love.

Image
Happy Birthday to the one without whom my life is incomplete. Closing the doors on the world so we can be together is where I find the most joy. Happy Birthday! You are my soul mate, my partner and most trusted friend. I can’t imagine how my life would be without you. On your birthday, I want to remind you of all the reasons why I love you.

mchana mwema mpenzi wangu.

Image
  Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama,lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha. *°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°* Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.

Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye..

Image
  Mawazoni ama ndotoni, Daima wewe hutawala, Kila asubuhi niamkapo, Nao usiku nilalapo, U chakula changu akilini, Nalo tulizo langu moyoni, Daima huuwaza upekee, Wewe uliojaaliwa, Na hivyo naihisi furaha, Daima wewe uwapo, Mawazoni mwangu. SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu Ndilo sababu ya nguvu yangu Tangulia pembeni mwa macho yake Asubuhi hii hadi usiku ujao