BORESHA PENZI LAKO KWA SMS HIZI NZURI
Ooh my ,,,,,,hivi ni kweli umebanwa na kazi au unaniwekea pozi mawasiliano yalikua ayaishi tulipo lianza letu penzi Leo si cm wala sms nizipatazo kwako mpenzi hakika unipendi siku hizi enewei sina jinsi zaidi ya kumshukuru mwenyezi
++++++++++++++++++++++++++
Comments
Post a Comment