SMS TAMU ZA MAHABA KUMTUMIA MPENZI WAKO
♥Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia ...