SMS KALI ZA MAPENZI KWA AJILI YA MPENZI WAKO!!!!!
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi
umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama
hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA
MWINGINE ZAIDI YAKO”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi
kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
Comments
Post a Comment