Naomba unisamehe mpenzi wangu.

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba
haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!
Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!
.
Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,

Comments
Post a Comment