Nisamehe mpenzi wangu.

 maneno million haliwez kulirudisha pendo lako najua kwasababu nimejaribu,pia machozi million haliwez kulirudisha najua kwasababu nimelia.

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipenafasi nyingine moyoni mwako!Nipe nafasi nyingine maishani mwako! Nisamehe mpenzi wangu!

Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhatipenzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.





Comments

Popular posts from this blog