MISSING SMS

 Upendo ni tiba maradhi hukimbia,

Salamu ni shiba buriani yazidiwa,Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia,Kwa furaha na mahaba sitochoka kukusalimia,Za saa hizi kidani cha moyo wangu..................................???                                                     &-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-&

Ninapenda kukumbatia lakini sipendi kuachilia. Ninapenda kukusalimu lakini sipendi kusema kwaheri. Ninapenda kukutazama ukija kwangu lakini nachukia kukuona ukiondoka. Ninakukosa rohoni.

          # ------ * ------ * ------ * ------ #




Comments

Popular posts from this blog