Nakupenda dear..

 Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii nafasi moyo umekuchagua.

 •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

 Sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali nami lkn penzi lako bado               nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!







Comments

Popular posts from this blog

MESEJI ZA MAPENZI KWA MPENZI WAKO.