Nakupenda wa ubani..
*Utakutana na mmsichana mzuri kuliko mimi ana akili kuliko mimi na mcheshi kuliko mimi lakini huwezi kupata msichana kama mimi,
*Pesa haiwezi kununua furaha lakini inaweza kukusaidia kuitafuta kwa haraka katika kibadilishaji.
Comments
Post a Comment