Usiku mwema my dear.

Siku inaisha tena. Ni vizuri kuwa na  mpenzi kama wewe  siku inaonekana ni nzuri sana. Asante mpenzi usiku mwema nakutakia ndoto tamu ..
_____________
Mtu wa kwanza Unayemfikiria Asubuhi na Mtu wa mwisho unayemfikiria Usiku ni Sababu ya furaha yako au ndiye sababu ya maumivu yako ..

Comments

Popular posts from this blog

MESEJI ZA MAPENZI KWA MPENZI WAKO.