Hizi hapa sms nzuri za kumtumia mpenzi wako ili azidi kuongeza upendo juu yako.

 Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba, napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupa mahaba yanayozidi shaba. Nakupenda. ................. ·

 Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboni yangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea kutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu na karaha za huu ulimwengu .nakupenda dia




Comments

Popular posts from this blog