Meseji za Tamu za Mapenzi Usiku mwema.

 Wewe ni mng’arao machoni mwangu;Tabasamu la midomo yangu;Furaha ya uso wangu;Kwa sababu bila wewe, mimi sijatimia.

****

Last night I matched each star with a reason for loving you. I was doing great until I ran out of stars.

****

Mungu ni mwenye busara kwa kuwa hakubandika gharama yoyote juu yako mpenzi. Kama angelifanya hivyo, nisingeweza kuwa na uwezo wa kuwa na mpenzi wa thamani kama wewe.





Comments

Popular posts from this blog

MESEJI ZA MAPENZI KWA MPENZI WAKO.