Meseji za Tamu za Mapenzi.

 



Nimekutumia meseji hii kukuarifu kuwa nakufikiria. Natumaini kwamba hii dakika moja ninayokutumia meseji itasaidia kuwasilisha penzi langu moja la milele.

****

Nipe nafasi moyoni mwako na si akilini mwako, kwa maana akili husahau kwa urahisi, lakini moyo hukumbuka mara kwa mara. Nakupenda.

****

Nakutumia kitanda changu ili upumzike, mito ili kukuliwaza na blanketi langu ili kukupa joto.Kwa sasa siwezi kulala kwa sababu tayari nimekwisha kupa vitu vyangu vyote. Usiku mwema! Nakupenda.

Comments

Popular posts from this blog

MESEJI ZA MAPENZI KWA MPENZI WAKO.