Nakupenda mpenzi wangu.
Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne.
1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na kufurahi sana.
……………………….
Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! Ni kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?
……………………..
Comments
Post a Comment