SMS KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA

 .💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako ,Röhö hĂ„inĂ„ furaha sababĂŒ ya ĂŒkimyĂ€ wĂ„kö,nĂ€fsi hĂ„inĂ„ raha kĂŒkösĂ€ sĂ„uti yako,möyöni nĂ€sonönekĂ€ kĂŒkösĂ€ penzi lĂ€kö,hĂ„kikĂ„ naumia sana

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe

nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!

Nisamehe mpenzi wangu!

.💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,

naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe!  naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa shetani ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu! nimegundua nilikukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya,bora na mwaminifu,nisamehe mpenzi wangu naomba unipe nafasi nyingine katika moyo wako



Comments

Popular posts from this blog