Honey kila nikikutizama machoni huwa naiona kesho yetu, future ambayo imejaa matamanio yetu, furaha upendo na amani zikitawala nyuso zetu, uku tukicheza na watoto wetu, mimi baba na wewe mama tukilisongesha guludumu la maisha yetu, hakika wewe ndiye waubani wangu...
Mpenzi mahaba matamu kwako nayapata, hakika ya menizidi niko hoi nyaka nyaka, sijiwezi asilani kama nzi kwenye kidonda, kwa penzi maridhawa nalopata moyoni umenitoa shaka, hakika najivunia wewe kukupata, daima tuishi pamoja kwenye penzi letu tuendelee kugandana...
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA. kila kilicho “”MOYONI”” si rahisi kukitoa,Akuthaminie Hukuona “”GHALI””,akukumbukae juwa amekuhifadhi “”MOYONI”” na “”AKUNPENDAE”” Hachoki Kukuombea “”MEMA ucku mwema hny. ………… Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
Comments
Post a Comment