SMS TAMU ZA USIKU MWEMA
Maneno yote ya ulimwengu huu hayatatosha kueleza jinsi ninavyokumiss sasa hivi! Natumai unaniwazia pia. Usiku mwema mpenzi wangu!
Ndoto tamu, mpenzi wangu. Hakuna mtu mwingine ambaye ningependelea kuunda kumbukumbu elfu moja naye!
Comments
Post a Comment