Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA. kila kilicho ββMOYONIββ si rahisi kukitoa,Akuthaminie Hukuona ββGHALIββ,akukumbukae juwa amekuhifadhi ββMOYONIββ na ββAKUNPENDAEββ Hachoki Kukuombea ββMEMA ucku mwema hny. β¦β¦β¦β¦ Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
Comments
Post a Comment