Posts

Showing posts from January, 2023

MESEJI ZA MAPENZI KWA MPENZI WAKO.

Image
  Kwanza Kabisa Kabla Hatuja endelea Mbele, Ukiona Unazo Dalili hizi apo chini. Jua Kabisa Umesha Penda yaani kuna Mtu unampenda. Hatakama Hujamuambia, Ishara hizi Humtokea kila mtu aliye Fall in Love. Kila Mara Unakuwa Unasoma Meseji zake. Kila unapo mfikiria, Moyo wako unaenda mbio kwa Upendo. Pia pale unapo kutana nae, unakua na aibu. Pale unapo sikia Sauti yake, Unaanza Kutabasamu bila sababu. Unapo kuwa nae wakati mnatembea, huwa unatembea mwendo wa taratibu automatic. Kila wakati anakuwa katika mawazo yako. Muda mwingine unajishtukia ukitabasamu pale unapo muwaza, maranyingi hii huwakuta wanawake. Ingawa Sijataja Jina la Mtu hapa, lakini wewe Kichwani kwako picha yake imekujia. Unajikuta Unaanza Kusikiliza nyimbo za Taratibu. Haya sasa Baada ya Kukupa Baadhi ya viashiria vinavyo onesha umesha PENDA. Basi tuangalie Sms za Mapenzi sasa. SMS ZA MAPENZI KWA MTU UNAEMPENDA. Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila p...

MANENO MAZURI YA KUMWAMBIA MAPENZI WAKO

Siamini , maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi. Kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele. yaani wasife. Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja. Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nininakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia. Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.

Mpenzi labda usiolijua lililopo moyoni, nina kila sababu za kusema

Image
  Mpenzi labda usiolijua lililopo moyoni, nina kila sababu za kusema akuna kama wewe maishani, yani kama mbuyu umempata shetani, kama dira kwenye ramani, umenichanganya na kunidatisha zaidi ya chizi anayeishi jalalani, hakika Moyo wangu unaitaji tulizo la mahaba yako nipate amani...

Mpenzi mahaba 🌾 matamu kwako nayapata...

Image
  Mpenzi mahaba matamu kwako nayapata, hakika ya menizidi niko hoi nyaka nyaka, sijiwezi asilani kama nzi kwenye kidonda, kwa penzi maridhawa nalopata moyoni umenitoa shaka, hakika najivunia wewe kukupata, daima tuishi pamoja kwenye penzi letu tuendelee kugandana...

Mpenzi upendo 🌿nilionao kwako🌾 unasukumwa na...

Image
  Mpenzi upendo nilionao kwako unasukumwa na hisia, kukupa mapenzi ya kweli nafsini nimejitolea, tulizo la mawazo yangu kwa sifa na kumwagia, kwa mahaba ya tashititi nipe, nipetipeti, moyo upate kutulia, hakika umeumbika na ilo umbo Mwenyezi Mungu kakushushia, nipe yote honey usijekunibania, si unajua mimi kwako kama maji ya mtungi tulii nimetulia... Write by jumamerikyori@ No.0715945207

Honey kila nikikutizama machoni huwa naiona kesho yetu...

Image
  Honey kila nikikutizama machoni huwa naiona kesho yetu, future ambayo imejaa matamanio yetu, furaha upendo na amani zikitawala nyuso zetu, uku tukicheza na watoto wetu, mimi baba na wewe mama tukilisongesha guludumu la maisha yetu, hakika wewe ndiye waubani wangu...