MANENO MAZURI YA KUMWAMBIA MAPENZI WAKO
Siamini , maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi.
Kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele. yaani wasife.
Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja.
Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nininakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia.
Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.
Comments
Post a Comment