MESEJI ZA MAPENZI KWA MPENZI WAKO.

Kwanza Kabisa Kabla Hatuja endelea Mbele, Ukiona Unazo Dalili hizi apo chini. Jua Kabisa Umesha Penda yaani kuna Mtu unampenda. Hatakama Hujamuambia, Ishara hizi Humtokea kila mtu aliye Fall in Love. Kila Mara Unakuwa Unasoma Meseji zake. Kila unapo mfikiria, Moyo wako unaenda mbio kwa Upendo. Pia pale unapo kutana nae, unakua na aibu. Pale unapo sikia Sauti yake, Unaanza Kutabasamu bila sababu. Unapo kuwa nae wakati mnatembea, huwa unatembea mwendo wa taratibu automatic. Kila wakati anakuwa katika mawazo yako. Muda mwingine unajishtukia ukitabasamu pale unapo muwaza, maranyingi hii huwakuta wanawake. Ingawa Sijataja Jina la Mtu hapa, lakini wewe Kichwani kwako picha yake imekujia. Unajikuta Unaanza Kusikiliza nyimbo za Taratibu. Haya sasa Baada ya Kukupa Baadhi ya viashiria vinavyo onesha umesha PENDA. Basi tuangalie Sms za Mapenzi sasa. SMS ZA MAPENZI KWA MTU UNAEMPENDA. Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila p...