Usiku mwema dear uniote pia.
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japokwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA Kila kitu kitafanya kazi sio lazima ujue jinsi gani. Kuwa na imani tu kwa Mungu na kuamini kwamba itakuwa…. Usiku mwema. \