Posts

Showing posts from February, 2022

Meseji za Kumtongoza Msichana,.....

Image
- Sikuwahi kupata raha kama hiyo; Sikuwa nimewahi kupata tamaa kama hiyo. Sijawahi kuhisi hivi kuhusu mtu yeyote hapo awali isipokuwa wewe... -Nimefurahi kukutana nawe, bado ninakufikiria… Nimekuwa na mawazo yangu mahali pengine leo, siwezi kuzingatia kazi yangu. Umenifanya nini, mwanamke weewe. - Upendo hutenda kupitia mimi… upendo huzungumza kupitia mimi… upendo hunifanya kuwa wa pekee… upendo hunifanya kuwa wa kipekee… upendo hunifanya kuwa hai… na yote haya asante kwako…

Mchana mwema mpenzi.

Image
   STORY NZURI       YA UPENDO Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba.  Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA. Masikini kumbe jike alifika tangu jana  kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!! Jee…!! wewe, utamuonesha nini umpendaye  ili aone ni kiac gani. Salamu ni moyo ktk “IMANI”. Salamu ni uhai ktk “UPENDO”. Salamu ni ufunguo wa “RIZIKI” salamu ni chakula cha “NAFSI” salamu ni “MSAMAHA” wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi” salamu huondosha “UADUI” Hakika salamu ni”UTAKASO” wa “NAFSI”. Nami nakupa wewe niliyekutunuku. *****MCHANA MWEMA!***** …………………

SMS TAMU ZA MAHABA KUMTUMIA MPENZI WAKO

Image
Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani la azizi? Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi!

Ujumbe Wa Mapenzi Wa Usiku kwa Mpenzi,

Image
 Halo wewe, Ndio wewe mpenzi, akiwa ameshika simu. Umelala? Hapana? Sawa, kwa sababu nataka kusema usiku mwema kabla ya kope zako kukumbatiana kwa nguvu. Gusa dunia, penda dunia, heshimu dunia, mashamba yake, mabonde yake, mteremko wake, na bahari zake; pumzisha roho yako katika sehemu zake za faragha. Kwa bahati mbaya, nimepunguza kabisa mafuta mwilini mwangu, kwa hivyo lazima nichukue masaa kadhaa kujiamsha. Afadhali niseme usiku mwema badala ya kukuacha ukiongea hewani!

SMS NZURI KWA UMPENDAYE

Image
 Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET" Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU" Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO" 

Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Mpenzi:

Image
 Ninapenda kung'aa machoni pako na tabasamu zuri ulilonalo tunapokuwa pamoja. Ninataka kuwa kando yako ili kukutazama ukisherehekea siku nyingi zaidi za kuzaliwa. Katika bustani iliyojaa maua, unaonekana kuwa kiumbe mrembo zaidi na mwaminifu zaidi. Pamoja na wewe, ninahisi kama niko mbinguni wakati wote. Siku ya kuzaliwa yenye furaha, mpendwa wangu.

MBINU ZA KUMWOMBA MSAMAHA MPENZI WAKO

Image
  Marafiki zangu kukosea katika maisha ya binadamu ni kawaida. Ni sehemu ya maisha yake. Tena inaaminika kwamba, kukosea ni kujifunza, maana kosa utakalofanya leo ni funzo la kesho. Hii ipo pia hata katika uhusiano na wapenzi wetu, mara kadha wa kadha tumejikwaa na kuwakosea. Hakuna cha ajabu. Ni kawaida kabisa, lakini jambo la msingi hapo ni kwa namna gani tunajifunza kupitia makosa. Ni kwa jinsi gani tunamaliza tofauti hizo. Maana unaweza kuwa hodari wa kukosea au ukawa bingwa wa kusamehe, lakini wimbo huo ukaendelea kubaki hivyo hivyo kila siku. Lakini pia, wapo ambao kwa bahati mbaya, bila matarajio yao, wanajikuta wakiwa wamewaudhi wapenzi wao. Ni bahati mbaya na yawezekana kabisa wanaumia sana mioyoni mwao, lakini wakashindwa jinsi ya kumaliza ‘bifu’ hilo katika penzi lake. Siku zote mkosewa hukosa raha, hupoteza hamu ya kukutana na mpenzi wake lakini kubwa zaidi, hujishusha/hukushusha thamani ya mapenzi yake kwako. Lakini mkosewa huyo huyo, akioneshwa kwamba makosa yaliyofan...

Heri ya siku yako ya kufungasha vilago tumboni.

Image
Nakupenda sana leo kuliko jana, lakini hata sehemu ya kumi ya kile nitajisikia kesho. Siku ya kuzaliwa yenye furaha, mpenzi wangu! Heri ya kuzaliwa kwa mtu maalum ambaye analeta furaha nyingi moyoni mwangu. Ninashukuru kwa kila wakati tunaotumia pamoja, na ninatamani furaha yetu isiishe.  

Nisamehe dear.

Image
Penzi la kweli siku zote hudumu,penzi la kitapeli haliishi ugomvi,mpenzi wangu leo nimegundua nakukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya na bora,nisamehe. ........ Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.

Mchana mwema my love.

Image
 Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. “NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU”  ………….. Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!

Upo kwa ubongo wangu.

Image
 Kwenye ubongo  nimekusevu “I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonae  nasema “NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,every  “SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok ………………… Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! N kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?

Usiku mwema dear.

Image
 Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako,Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA ………………… Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana GOOD NIGHT.

Njoo kwangu unacho taka nitakupa.

Image
 Upendo sio tigo eti ongea kwa nusu shilingi wala sio voda kazi ni kwako, pia sio airtel jisikie huru bali upendo ni zawadi pekee sana mungu aliyoiweka ndani ya mioyo yetu.hili ni la kuzingatia dear nakupenda mpnz wangu.   ................. Mpenzi wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua wewe ni mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu     

Nakumiss tu.

Image
   Macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila mwili wangu upo kwa ajili yako dear.      *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo laakupendae kwa kila mara japo sekunde moja.   

Nakupenda tu.

Image
Ewe ulotulizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona huniondoka machungu tabia zako mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona mwambie ww ni wangu ……. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.

Omba msamaha kwa mpenzi wako na sms hizi

Image
 Ninakujali na ninatamani kukutendea mema. Tafadhali nipe nafasi ya mwisho kurekebisha mambo. Nitafanya chochote unachotaka, mpenzi wangu, mradi tu uwe na furaha.  Samahani kwa kukusukuma mbali na kukufanya uhisi mambo mabaya ambayo hujawahi kuhisi hapo awali. 

NJIA 7 ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO

Image
Umeshawahi kumkosea mtu na ukashindwa namna ya kuomba msamaha kumaliza tofauti hizo ili kuendeleza uhusiano wenu, kwani mara zote maelewano mabovu hupelekea kuvunjika kwa uhusiano huo, msamaha ndio kiungo pekee kinachoweza kurudisha upendo na amani, Japokuwa watu wengi hawafahamu namna sahihi ya kuomba msamaha ili kusamehewa. Anaweza kuwa rafiki, mpenzi, ndugu, au mtu yeyote ambaye mna mahusiano na ukamkosea kiasi ambacho utahitaji kuomba msamaha, kwa sababu hiyo unahitaji kufahamu namna sahahi ya kusema neno samahani kwa mtu uliyemkosea, hivyo hapa chini nakuwekea namna bora ya kuomba msamaha kwa mtu uliyemkosea. Beba kosa lako na ukubali kuwa umekosea. Watu wengi imekuwa mtihani kukubali kosa na kuomba msamaha kwa kuwaumiza wale waliowakosea, iwe jambo la kawaida kuweka majivuno yako pembeni na kulivaa kosa na kuomba msamaha wa dhati mapema iwezekanavyo kwani kadri unavyozidi kuchelewa kuomba msamaha ndivyo unavyozidi kupunguza nafasi ya kusamehewa, Msamaha wa kweli ni ule ambao unau...

Ujumbe mzuri kwenye happy birthday ya mpenzi wako

Image
 Heri ya kuzaliwa kwa yule ninayempenda! Wakati fulani, ninahisi kama kuutoa moyo wangu kutoka kifuani mwangu ili kukuonyesha jinsi ninavyokupenda. .......................... Nimebarikiwa sana kuwa na mtu wa ajabu kama wewe katika maisha yangu. Siku ya kuzaliwa yenye furaha, mpenzi! Usiache kamwe upande wangu! ........................... Heri ya kuzaliwa kwako mpenziwangu wa ndoto. Marudio mengi ya furaha ya siku. Kuwa na furaha nyingi na furaha.

JINSI YA KUMSIFIA MWANAMKE MREMBO UNEMPENDA KWA DHATI

Image
 maana msingi ya neno ‘wewe ni mrembo’ imepotea. Hii ni kwa sababu baadhi ya wanaume wasiojua kutongoza wanaishia kulitumia neno hili vibaya kiasi cha kuwa neno hili limepoteza uhalisia. Je ulikuwa wajua kuwa wanawake hupenda kusifiwa? Na ulikuwa ukijua kuwa kumsifia mwanamke mara kwa mara ni njia moja wapo ya kutongoza?  leo tumekuja na mambo tofauti ambayo unapaswa kutumia ili umshawishi mwanamke kuwa ni mrembo, na wala hataona kama ni maneno unalompakizia ama maneno ambayo ameyazoea kuyaskiliza awali. Twende pamoja: Jambo la kwanza  Wakati unapotaka kumsifia mwanamke kuwa ni mrembo, usimwambia, “Wewe ni mrembo” mara kwa mara kwa sababu itafikia mahali flani neno hilo litaisha ladha. Badala yake tafuta sehemu muhimu kutoka kwa mwili wake ambayo utaitumia kama kigezo cha kumsifia. Kwa mfano kama umependezwa na pua yake mwambia, “Nimependezwa na pua yako, kila mara nikiiona najiskia na furaha.” Ama kama umependezwa na mashavu yake unaweza kumwambia, “Mashavu yako ndio nur...

JINSI YA KUINGIA KATIKA AKILI YA MWANAMKE UMPENDAE

Image
  Je uko tayari kufahamu jinsi ya kuingia katika akili ya mwanamke na kufanya mapinduzi ya njia ya kawaida unayotumia kuapproach mwanamke? Kama jawabu lako ni ndio, basi zama nami kusoma hizi mbinu ambazo zimethibitishwa kufanya kazi. 1. Anza approach ya mbali Kabla ya kumuapproach mwanamke, hakikisha ya kuwa unamsoma kwa umbali mambo anayofanya kwanza. Halafu ukiona kama umepata kile unachoweza kutumia kutoka kwake unaweza kumuaproach. Ukiwa unaongea nayeye mwambie kuwa una uwezo wa kusoma nyota yake. Wanawake wengi watakubaliana na hili ili kuona ucheshi wako. Halafu ukirudilia na vitu ambavyo ulimsoma awali, utakuwa umemfunga. Mwanzo kama umejaribu kumtabiria vitu ambavyo viko sawa kwake ama vinahusiana na yeye, una nafasi kuu ya kumfanya kukutaka kukufahamu zaidi. Pia ni vizuri kufahamu miondoko ya wanawake na mapema ili kuelewa kama anakubaliana na utabiri wako kwake. [soma; Jinsi ya kuapproach demu   Pia unaweza kuwambia unaweza kusoma nyota yake kupitia kwa maganja yake...

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako

Image
 Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong’oneze mwambie nampenda sanaaaa Nilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati, nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi kuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.

Nakupenda dear

Image
  Naweza kusema nakupenda leo? Ikiwa sivyo, naweza kukuuliza tena kesho? Na kesho kutwa? Na siku baada ya hapo? Coz nitakuwa nakupenda kila siku ya maisha yangu. Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.

Sms za mahaba za mchana mwema

Image
 Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri. **** Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe.

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

Image
Kutokana na penzi la siku ya kwanza kwako, bado ninatamani kuendelea kujificha katika moyo wako, wewe ni taa ya maisha yangu, nahitaji uwe nami siku zote, nami nitakuwa nawe, hadi kifo kitapotutenganisha! Hii ni ahadi ambayo sitaivunja hadi siku naingia kabuni, tupendane mpenzi… Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.

Hizi hapa SMS kali mpya Za Mapenzi.

Image
  Mpenzi usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu usioisha hamu, nitakupa mwili wangu ucheze nao hadi asubuhi, nitakulisha unachokitaka, sitakubania kwani naogopa wengine wanaweza kukupa... njoo leo uniambie unataka nini? ******* Wengine waliachana wakati bado wanakupenda, wengine waliachana sikuchache baada ya kuchokana, wengine waliachana walipopata pesa, wengine waliachana walipopata wapenzi wapya..naomba nikutoe wasiwasi kuwa siwezi kukucha hata nipewe mamlaka ya kuogoza dunia nzima.

Mchana mwema dear.

Image
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali Nakupenda Mpz  Pendo la dhati lina sifa zifuatazo,kuvumilana,kusubiriana,kujaliana,kushauriana,na La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.

Nimekumiss mpenzi.

Image
 Vituko hivi vyote vizuri vinanikumbusha malaika niliyekuwa naye akinisubiri nyumbani. I miss you like crazy! Ninaanguka kwa upendo kidogo zaidi kila wakati ninapokuona na siwezi kungoja kukuona tena. Nimekukumbuka sana!

Usiku mwema.

Image
 Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje. Hodiiiiii, Hodiiiii, Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. ........................   Mimi si Milionea, ila TAJIRI  wa MOYO MKUNJUFU! Mie si zaidi,  ila nafanya NIWEZALO! Sifanyi  sahihi kwa kila jambo,ila kwa hili  nipo sahihi Kukutakia usiku mwema.

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO

Image
 Watu hufanya ubahili katika pesa, si katika mapenzi la azizi, sielewi kwa nini umeadimika siku hizi, si sms, simu jamani hata beep sizipati siku hizi! Nakupenda sijui kwa nini umedadilika siku hizi. Mtu gani usiye ridhika nimekupa hadi sisivyo simulika, lakini huishi kuhangaika, kutwa kugaagaa na upwa, kumbuka mgagaa na upwa hali…., hakika Mungu atakupa unachokitafuta, wewe hangaika.\

SMS NZURI YA KUMTAKIA MPENZI WAKO USIKU MWEMA

Image
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naombe ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA ................... Nmechoka kusimama hapa kusubiri sms yako ya kunitakia usiku mwema. Naenda zangu kulala miguu isije ingia ndani bure...!GD9T

Ujumbe Siku ya Kuzaliwa.

Image
 Mei Siku hii ya Kuzaliwa italeta furaha, furaha na baraka katika maisha yako.Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mapema! Natamani kupata kuwa na keki nyingi za siku ya kuzaliwa mwaka huu.Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mapema!

Siku ya wapendanao na marafiki.

Image
 Tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sana kwamba kimsingi tumefunga ndoa. Sasa ninadaiwa kadi ya Siku ya Wapendanao kila mwaka.  Kupata marafiki ukiwa mtu mzima ni ngumu. Asante kwa kuifanya iwe rahisi. Nyakati nzuri. Nyakati Mbaya. Nyakati za Furaha. Nyakati ngumu. Haijalishi ni nini, wewe daima uko upande wangu.

Ujumbe wa Siku ya Kuzaliwa kwa Mpenzi

Image
 Siku hii iwe ya jua kama tabasamu lako na nzuri kama ulivyo. Unaangaza kila siku, lakini siku hii, utaangaza zaidi. Heri ya Siku ya Kuzaliwa.  Sijawahi kukutana na mtu mtamu kama wewe. Siku hii, tunasherehekea utamu wako kwa kula keki tamu na kunywa divai tamu.

SMS ZA KUOMBA radhi kwa mpenzi

Image
 Hivi kweli haya ndiyo mapenzi ama naota njozi? Nimefanya kila naloweza kuliimarisha letu penzi lakini naishia kuambulia majonzi, nimekuwa mtu wa kububujikwa na machozi kwa sababu ya lako penzi, kama nimekukosea tafadhali niwie radhi mpenzi, nakupenda na amini wewe pekee ndiye uliyetimiza ndoto yangu ya mapenzi .•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Hivi ni kosa gani nilililokutendea ambalo sipaswi kusamehewa? Ni kweli nilikosea nahitaji kusamehewa mpenzi, plz naomba nielewe kwani sina mwingine zaidi yako wewe. Luv u•·

Wewe ni wangu.

Image
= Ninapokutazama. Nayaona maisha yangu ya usoni. Siwezi ishi bila wewe mpenzi.  =Mpenzi kweli ni asali. Nataka nizidi kushuhudia utamu wa maisha nawe. Wafanya maisha yangu yawe     kamili.  

Usiku mwema dear;

Image
 Ni kweli walivyosema wahenga kuwa moyo wa kupenda hauna subira. Ninavyokupenda mimi nataka niwe nawe wakati wote. Nilalapo na niamkapo, uwe karibu nami siku zote. Ni vigumu kungoja. Nikuote na nikuone. Wewe ndiwe nambari moja maishani mwangu.  Ninapokufikiria najua lazima nikupeleka kwa mama. Ni waringie rafiki zangu kuwa nishapata wangu barafu ya moyo. Mke mwema hutoka kwa Mungu nami nashukuru Mola kwa kunipa wewe. Mke mrembo na mwenye tabia za kupendeza. 

Nimekuchagua wewe mpenzi:

Image
- Sina haja ya mahala peponi kwa sababu nimekupata wewe. Sina haja na ndoto kwa sababu niko na wewe. - Kama kuna kitu chochote nilifanya vizuri maishani mwangu ilikuwa ni wakati mimi nilikupea moyo wangu. 

Mchana mwema.

Image
= Wanaweza kusaga karatasi hadi ziwe nzuri kama mpya, kuzaliana mikebe na mitungi na chupa kuukuu pia, lakini hawawezi kusaga tena mtu mwingine mzuri kama wewe. =Wakati wowote unahisi bluu, nitakuwa hapo kwa ajili yako. Wakati wowote ukiwa na huzuni, nitakaa kando yako. Wakati wowote unapohitaji mtu wa kumpenda, nitakuwa na wewe kila wakati.

Penzi letu lidumu:

Image
 =Viungo vyote vya mwili wangu vinakuhitaji, inawezekana kwasababu nimeumbwa kwa ajili yako. = Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia mafanikio mema kwasababu nakujali.

Nakukumbusha tu upo moyoni dear.

Image
                                                => Mmmh! sijui ni kwa nini nahamu ya kufaidi penzi lako kiasi hiki? Natamani laiti ungekuwa karibu yangu unipime gonjwa hili na unitibu pia. Kwani wewe ndiye daktari wa pekee ni naye mwamini. Nimemiki kila kitu kutoka kwako. Nahisi nazidi kuchanganyikiwa kwa ukosefu wa penzi lako. =>  Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani!

Valentines Day.

Image
  *Mapenzi ni kitu ambacho hutakiwi kukikosa. Kwa hivyo toa mengi kwa kila mtu na wewe mwenyewe! Heri ya Siku ya Wapendanao 2022! *Nakutakia furaha na upendo wote ulimwenguni katika hafla hii maalum. Asante kwa kuwa nami kila wakati! *Upate upendo wa kweli na marafiki wa kweli wa kuwaweka milele kwenye valentine hii. Kutuma matakwa ya joto na mawazo mazuri kwenye njia yako

Heri ya Sikukuu ya Wapendanao.

Image
  Bila wewe mimi si kitu. Pamoja na wewe mimi ni kila kitu. Asante kwa kuwa kila kitu kwangu. Furaha Siku ya Wapendanao! Umekuwa kwa ajili yangu katika nyakati nzuri na mbaya. Leo nataka tu kusema asante kwa kuwa hapo kila wakati. Nakupenda. Furaha Siku ya Wapendanao! Maisha bila upendo ni kama ulimwengu usio na jua. Maisha yako yasiwahi kukosa upendo unaostahili. Heri ya Siku ya Wapendanao.

Heri za Siku ya Kuzaliwa mpendwa.

Image
                                                Ni siku yako ya kuzaliwa, lakini hebu tuzingatie idadi ya miaka iliyopita. Wacha tusubiri miaka ijayo! Ninapanga kuwa na furaha nyingi katika miaka ijayo na rafiki yangu bora! Ni ubora wangu ambao umenifanya nikutakie siku yako ya kuzaliwa mapema sana. Sasa ninaweza kuzunguka na kuwaambia watu wengine wote wanaokutakia mema kwamba mimi ndiye nilikuwa wa kwanza!  

Furahia ya Siku ya Kutoroka Tumboni

Image
Siku hii kila mwaka inatukumbusha siku ile ile uliyokuja katika ulimwengu huu. Ilikuwa ni siku ya furaha iliyoje. Na tangu wakati huo imebakia kuwa siku ya kukumbukwa kwa wewe ni Furaha yetu. Miaka ya nyuma, ulihangaika gizani kwa miezi 9, ukawa nje na maajabu kamili kwa ulimwengu. Hapa inakuja maajabu ya kutazama. Siku njema ya kutoroka tumboni kwako.

Meseji za Kumshawishi Msichana.

Image
Nimefurahi kukutana nawe, bado ninafikiria juu yako ... nimekuwa na mawazo yangu mahali pengine leo, siwezi kuzingatia kazi yangu. Umenifanya nini, mwanamke kijana?  Upendo hutenda kupitia mimi… upendo huzungumza kupitia mimi… upendo hunifanya kuwa wa pekee… upendo hunifanya kuwa wa kipekee… upendo hunifanya kuwa hai… na yote haya asante kwako…

SMS KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA

Image
 .💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako ,Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö,näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe nafasi nyingine moyoni mwako! Nipe nafasi nyingine maishani mwako! Nisamehe mpenzi wangu! .💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka, naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe!  naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa shetani ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu! nimegundua nilikukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya,bora na mwaminifu,nisamehe mpenzi wangu naomba unipe nafasi nyingine katika moyo wako

Mchana mwema dear

Image
Uko wapi wangu malkia mwenzio hamu nasikia nawe ndiye ujuwae hamu kunitoa tafadhari dear upatapo sms hii tambua nyumbani nakusubiria.  N ajua moyo wangu umekuchagua wewe na kukutumia zawadi hii ili uwelewe kwamba nakupenda sana nakujali zaidi nakudhamini kuliko nakutakia kila lakheri pamoja na dua njema SIKU NJEMA SWEET

Ujumbe Mzuri wa Usiku

Image
Ujumbe huu ni wa kukukumbusha - wewe ndiye kitu muhimu zaidi katika maisha yangu. Kwa hiyo, ninahitaji kuondoa ndoto zako zote za kutisha na kujaza ndoto zako za upendo. Uwe na usiku mwema. Ndoto nzuri. Upepo wa usiku unavuma kwenye nywele zangu, na mguso laini unanikumbusha busu zako. Pia, natamani sikuhitaji kukukosa kiasi hiki. Uchovu wangu wote unatoweka baada ya kukuona ukitabasamu. Hata hivyo, maneno yako yananitia moyo. Usiku usio na usingizi huwa bora katika upendo wako. Nina imani mwanaume wangu mzuri atakuwa na usingizi mzuri.

SMS za kubembeza, mapenzi na mahaba

Image
 Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET”         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! “NAKUPENDA MALAIKA WANGU”