Posts

Showing posts from December, 2021

Nisamehe dear wangu.

Image
Kukataa Kumsamehe Mtu Ni Sawa Na Kunywa Sumu Na Kungoja Mwingine Afe. Samahani.. Nilichofanya ni msukumo wa kipumbavu Ikiwa ningeirudisha nyuma muda nisinge fanya hivyo tena sikumaanisha kukuumiza kwa njia yoyote Samahani kwa kukuumiza ..

Happy birthday to you.

Image
  Mpenzi wangu mtamu, anayejali, wewe ndiye mtu ambaye ninakupenda na kukujali zaidi duniani nakutakia siku njema ya kuzaliwa!       Heri ya kuzaliwa, mpenzi waangu! ninatumaini unafuraha tabasamu lote ! Natumaini una siku nzuri!                                                         

Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae..

Image
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu. KWA MFANO:  1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear'' 2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui'' 3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuw...

Nakupenda wa ubani..

Image
*Utakutana na mmsichana mzuri kuliko mimi ana akili kuliko mimi na mcheshi kuliko mimi lakini       huwezi kupata msichana kama mimi, *Pesa haiwezi kununua furaha lakini inaweza kukusaidia kuitafuta kwa haraka katika kibadilishaji.  

Nisamehe mpenzi wangu sikukusudia kukuumiza.

Image
Nilichofanya ni msukumo wa kipumbavu Ikiwa ningeirudisha nyuma ivi nifanye hivi mara moja sikumaanisha kukuumiza kwa njia yoyote Samahani kwa kukuumiza mpenzi.. Nimefanya dhambi ya kukuhuzunisha na ninatambua kuwa ni mbaya sana kwa hivyo nisamehe nipunguze huzuni ambayo msamaha wako utakuletea ahueni. So plz nisamehe mpenzi.

Nimekukumbuka mpenzi wangu.

Image
Sikuzote nilijua kwamba nikitazama nyuma machozi yangu siku moja kungenifanya nicheke lakini sikujua kamwe kwamba kutazama nyuma kicheko changu siku moja kungenifanya nilie. Nimekukumbuka.. Nitaandika kwenye matofali yote I MISS U na ninatamani yaanguke kichwani mwako ili ujue jinsi inavyoumiza unapokosa mtu maalum kama u..

Uwe na mchana mwema baby"

Image
Nilimwomba Mungu ua alinipa bustani.Niliomba mti akanipa msitu.Niliomba mto akanipa bahari.Niliomba rafiki akanipa wewe.. Kila Uhusiano ni mzuri lakini upendo wa kweli ndio mzuri zaidi kila Mwanga ni mzuri lakini Mwanga wa Jua ni bora zaidi Every frend is sweet but your sweetest.. 

Usiku mwema my dear.

Image
Siku inaisha tena. Ni vizuri kuwa na  mpenzi kama wewe  siku inaonekana ni nzuri sana. Asante mpenzi usiku mwema nakutakia ndoto tamu .. _____________ Mtu wa kwanza Unayemfikiria Asubuhi na Mtu wa mwisho unayemfikiria Usiku ni Sababu ya furaha yako au ndiye sababu ya maumivu yako ..

Mapenzi matamu.

Image
Upendo wa Kweli: Kuhisi Mtu Katika Kila Moyo Unapiga.. Kutafuta Mtu Katika Kila Mawazo.. Kuona Mtu Mwenye Macho Ya Fumba... Kumkosa Mtu Bila Sababu Yoyote.. Kumngoja Mtu Wakati Wowote Bila Sababu.. Kamwe Usimpoteze Mtu. Nani Anakupenda Kweli. ____________ Je, ninakupendaje? Kwa kweli siwezi kusema kwa maana ni maumivu kama maumivu yasiyojulikana ambayo nisingeachana nayo kwa kuwa nathamini maisha na maisha ni moyo wangu na moyo wangu ni wewe.

Mchana mwema mpenzi wangu.

Image
 *Ninawazia macho yako mazuri yakisoma hili, huku ngozi yako inang'aa kwa upole kwenye mwanga   wa simu yako, na nywele zako zikilala taratibu dhidi ya ngozi yako. Natamani ningekuwepo.  *Hivi karibuni mwanga wa jua utaamka siku nyingine, na tutakuwa pamoja tena. Siwezi kusubiri. *Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini     mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.

Jinsi Ya Kuonyesha Kuwa Una Hadhi Ya Juu Kwa Mwanamke.

Image
 Ushawahi kugundua ya kuwa wanawake kikawaida huvutiwa na wanaume ambao wana hadhi ya juu? Kama ni kweli, najua kwa akili yako unafikiria ya kuwa iwapo unataka kuwavutia wanawake warembo lazima uwe na umaarufu ama tajiri ama zote mbili. Ni kweli? Ok hapa NESIMAPENZI tunasema La! Unaweza kumwonyesha mwanamke kuwa pia wewe una hadhi ya juu....na si lazima uwe na pesa nyingi wala kuwa staa wa Bongomovies... Mwanzo kuwa na hadhi ya juu ni nini? Je, kuwa mtu wa hadhi ya juu ina maanisha kuwa tajiri ama maarufu? Ok hebu fikiria hivi: Kama mtu tajiri zaidi ulimwenguni ameamua kusafiri hadi kisiwa flani kisichojulikana ambacho hakina runinga wala redio... mtu huyu atakuwa na umaarufu kiasi gani? Pesa ambazo anazimiliki zitakuwa na umuhimu gani? Ni hivi, kuwa na hadhi ya juu ni mauzauza. Ni mauzauza ambayo yanajengwa na maoni ya watu ambao unahusiana nao karibu. Mfano, unaweza kuwa na hadhi ya juu ya maingiliano wakati ambapo unatangamana na familia yako, tofauti na kuwa katika chumba ambac...

Nisamehe mpenzi wangu.

Image
 Mapenzi ni usaníi ukiigiza utashindwa,mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana,mpenzi wangu usiniache. ______________________________________ penzi la kweli siku zote hudumu,penzi la kitapeli haliishi ugomvi,mpenzi wangu leo nimegundua nakukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya na bora,nisamehe . . _______________________________________ mpenzi nashukuru nikikuacha nitakuwa ninakufuru mi ndiyo mpenzio na hauna mwenzako mpenzi kuwa huru _______________________________________

SMS ya kumtakia sweet yako usiku mwema.

Image
  Lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie karima zitimie njozi zako,,,,,,,,,usiku mwema wangu, Fungua macho yako uone kopa zamahabaninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema  

Usiku mwema my love.

Image
NALIA ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona, najuta ninapokuudhi, naumia unaponitenga, nateseka ukiwa kimya, nafulahi ukinikumbuka. Nakupenda mpenzi, niondolea jaka moyo. Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia. Wala si kimya kinachotawala mazingira, bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio, nakutakia usiku mwema.

Wewe ndio roho yangu uliye shikilia maisha yangu.

Image
Msesage nzuri nakuandikia kwakuwa nyimbo nzuri siwezi kukuimbia, maneno ninayokuandikia nataka moyoni yakuingie, nakupenda ewe wangu waridi uliyenitoa kwenye ulimwengu wa baridi! Mmmmh mwaah  Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.

I miss you.

Image
Nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapokuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz        ●´¯`´¯`●♥¡¡♥●´¯`´¯`●♥ Utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazi kwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenye kachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenye mkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani    

I love you.

Image
 Siku ya Kuzaliwa Njema. Wewe ni maalum katika maisha yangu, sio tu kwa kuwa dada yangu mzuri, lakini pia kwa kuwa mmoja wa msaada wangu bora. Bila wewe nisingefika hapa. Siku za kuzaliwa zinaashiria mwanzo mpya, wakati wa kutazama nyuma na shukrani kwa baraka za mwaka mwingine. Pia ni wakati wa kutazamia kwa matumaini mapya. Heri ya Siku ya Kuzaliwa!

SMS TAMU ZA KUMTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WAKO.

Image
  Najua moyo wangu umekuchagua wewe na kukutumia zawadi hii ili uwelewe kwamba nakupenda sana nakujali zaidi nakudhamini kuliko nakutakia kila lakheri pamoja na dua njema SIKU NJEMA SWEET.     ********** Mapenzi ni kama mti uchanuapo ukinyeshewa mvua hunawili yanapo lelewa na utoa matunda pindi yanapo thaminiwa gharama ya tunda litokalo mtini hapo utegemeana na ubora wake nasi tulifanye penzi letu liwe bora na lenye kuthaminiwa.. *****************

SMS TAMU ZA USIKU MWEMA.

Image
                             Najua kazi za kutwa nzima leo zitakuwa zimekuchosha sana mpenzi wangu,pumzisha akili yako na mwili wako kwa ajili ya kufanya kazi tena kesho.pole sana dear!nakutakia usiku mwema  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Akili yako imechoka,hata mwili wako pia!huu ni wakati wako wa kupumzika mpenzi,nakutakia usiku mwema,lkn uache moyo wako uwe macho kwa kuwa yupo anayekupenda kwa dhati! Nakupenda sana mpenzi wangu,pokea busu mwanana . . .mwaaaaaa . . . . . •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  

OMBA RADHI KWA MPENZI WAKO NA SMS HIZI

Image
Kina ninapokukumbuka machozi yanidondoka, hivi leo mwana wa mwenzio ninaumbuka kwa kuparamia mapenzi kwa pupa, ukweli nakupa, hivi sasa najuta! Nisamehe mpenzi. ·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana, pokea busu mwanana….mwaaaaaaaa…

Heli ya siku ya kuzaliwa mpenzi...

Image
Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi. Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.

Masharti Ya Kumtext Mwanamke - Makosa 5 Unayoyafanya

Image
  Kila siku mara moja au nyingine huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi hukosea wakati wanapomtext mwanamke, na jinsi ya kutatua. Zama nasi... #1 kukata tamaa mapema kwa mwanamke Kosa kuu ambalo wanaume wengi hufanya ni kukata tamaa mapema wakati wanapomtext mwanamke. Watamtext mwanamke, na kama hatajibu jumbe zake (ama kujibu kiuchache) watachukulia kuwa mwanamke huyu amepoteza interest na wanakata tamaa. Hili ni kosa kuu sana. Kama inavyojulikana kikawaida ni kuwa mwanamke anaweza kutojibu meseji zako, na sababu hizo hazina uhusiano moja kwa moja na kutokuwa na interest kwako. Kwa mfano, anawezakuwa labda yuko busy, katika mood mbaya, ama labda hayuko sure ni kitu gani cha kukujibu kwa meseji. Kiufupi ni kuwa haujui kile ambacho kinazunguka kwa akili ya mwanamke, so ...

Niamiini dear

Image
Sikuwa najua kwanini haswa mtu anaweza kumuangalia mwingine na kutabasamu bila sababu zozote hadi ule wakati nilipokutana na wewe. Nataka uwe wangu. ************ Mapenzi si kitu ambacho kinaeleweka, wala pia si kitu unachokihisi, huwezi kukipokea wala kupeana, mapenzi huja tu. Ndio maana nimejikuta nimekupenda mpenzi wangu. *************

Sms za mahaba..

Image
Laiti moyo ungekuwa na kifuniko basi ningekuwa radhi kukwambia fungua uone unavyokereketa, lakini sivyo, nimebaki nauguza vidonda, nieleze ninene nini ujue nakupenda kijana mwenzio""" Hakika moyo ukipenda inakuwa vigumu kuuzuia, kila nikuonapo rohoni naumia, mapigo ya moyo yanienda mbio, hutamani tuwe ulingoni, ujuzi tuoneshane pasipo na soni! Nakupenda mpenzi""  

Mchana mwema.

Image
      Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na furaha, na kuhisi upendo wako. Najuakuwa maisha mara nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa kukuonyesha kuwa  yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu anayekujali   . Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu                                                      

LOVE SMS

Image
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo .•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya. •·. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

MISSING SMS

Image
 Upendo ni tiba maradhi hukimbia, Salamu ni shiba buriani yazidiwa,Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia,Kwa furaha na mahaba sitochoka kukusalimia,Za saa hizi kidani cha moyo wangu..................................???                                                     &-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-& Ninapenda kukumbatia lakini sipendi kuachilia. Ninapenda kukusalimu lakini sipendi kusema kwaheri. Ninapenda kukutazama ukija kwangu lakini nachukia kukuona ukiondoka. Ninakukosa rohoni.           # ------ * ------ * ------ * ------ #

SMS 5 MPYA ZA MAPENZI

Image
  Naapa abadani penzi langu sitalitoa asilani ingawa upo mbali nami, nakupenda amini kwako nimefika, nitunzie langu penzi wasije niibia washenzi. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Hakikisho la mapenzi: . . umeingia moyoni mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana,wajua moyo huwa unafunguliwa mara moja hasa kwa ile true love . . . ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Leo ni zaidi ya mwezi toka tumeyaanza yetu mapenzi na kila kukicha nakuota kwenye njozi ukinipa majambozi na huishi uchokozi, sijui lini nitaacha hizi njozi kwa kunipa laivu lako penzi, nakupenda mpenzi ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Sijui nini chakukukwambia furaha moyoni kila saa yanijia tangu ulivyoniambia mimba ndiyo ishaingia hivyo mtoto nikaye nikimtarajia, nakupenda dear hakika wewe pekee ndiye wangu malkia! ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Naamini uatakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechokana kazi, t   afadhali badili yako mavazi , bafuni ingia upate maji kujimwagia, natamani kuja kukusaidia mgongo kuusugua na chakula kukuandalia lakini siku haijawadia...

Maneno ya Kupongeza Siku ya Kuzaliwa

Image
 - Mwaka huu uliopita umejaa heka heka, hata hivyo umeweza kushinda kila moja ya vizuizi kwa hadhi, endelea nayo! Heri ya Siku ya Kuzaliwa! - Siku zote ninajisikia mwenye bahati kuweza kushiriki maisha yangu na wewe, na leo kwamba unageuka mwaka mmoja zaidi, ninajua zaidi jinsi wewe ni maalum. Heri ya Siku ya Kuzaliwa!

I love you.(sms)

Image
 Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si mtumaji......  **** Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu.....

Mchana mwema mpendwa.

Image
 Mchana ni muda mzuri wa kukumbuka watu wazuri mchana mwema. ———————————— Urafiki ni kama hewa, Haionekani lakini ipo siku zote, Mchana mwema rafiki yangu!

Mpenzi wangu bado nakupenda nisamehe..

Image
  Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha  kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako  hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,  amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.  *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Mpenzi wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww ni mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu....   

Nakupenda dear..

Image
 Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii nafasi moyo umekuchagua.  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  Sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali nami lkn penzi lako bado               nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!

I missing you...

Image
Moyo unasikitika hauto acha daima. Machozi yatiririka siusiku si mchana. Huzuni imenishika kwa vile sijakuona ……… Ndege tausi alimuuliza kasuku “hivi kuna viumbe wazuri kuliko sisi duniani?”kasuku akajibu,ndio wapo kama hujui mtizame huyu anayesoma msg hii ………..

Heri ya mwaka mpya.

Image
 Uwepo wako maishani mwangu ni kama mlango wazi ambao unakaribisha furaha na furaha kwa wingi. Sijawahi kujisikia hai kama hapo awali. Heri ya mwaka mpya 2022 Bila shaka wewe ndiye mwanadamu bora zaidi ambaye nimewahi kukutana naye maishani. Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwako. Tunakutakia mwaka mzuri mbele!  

Heri ya mwaka mpya 2022

Image
 Mwaka mwingine mzuri utaisha. Lakini usijali, mwaka mmoja zaidi uko njiani kupamba maisha yako na rangi isiyo na kikomo ya furaha! Urafiki bora ni wale ambao haupotei hata iweje. Wanazeeka na hufanya maisha yawe na thamani ya kuishi wakati mambo yanakwenda vibaya. Asante, mwenzi kwa kila kitu. Kuwa na mwaka mpya wenye baraka!

NJIA 5 ZA KUDUMISHA MAHUSIANO YA MAPENZI...

Image
      Kuna nukuu inayosema  “Uhusiano mzuri hautokei tu peke yake bali huchukua muda, uvumilivu, na watu wawili ambao kikweli wanataka kuwa pamoja.” Japo inasemwa kuwa mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha mahusiano baina ya wapenzi. Mahusiano ya mapenzi yenye kudumu ni sharti yapandwe katika udongo wenye rutuba kama ulivyo mmea,yatahitaji maji ya kumwagilia na mbolea ya kukuzia.  Na zaidi ya yote yanahitaji muda wa kukua kabla matunda kuonekana. Uaminifu Kumwamini mwenza wako ni jambo la msingi sana katika kudumisha mahusiano. Usimshuku mpenzi wako kuwa si muaminifu bila ushahidi wowote. Kushukiwa kukosa uaminifu pasipo ukweli inasononesha sana na kumkosesha raha mpenzi wako. Imesemwa na wanafalsafa wa mawazo ya binadamu kuwa  “Unachofikiri na kuamini kinatokea”  hivyo unashauriwa kutofikiri vibaya juu ya mpenzi wako kwani haileti afya katika mahusiano. Hali kadhalika na wewe uwe mwaminif...