Posts

Showing posts from January, 2022

Sms za Siku ya Kuzaliwa kwa Mpenzi

Image
 Ninapenda jinsi jicho lako linavyometa unapotabasamu; siku njema ya kuzaliwa, na ninakutakia kila la kheri. Wewe ni mmoja wa watu wachache katika ulimwengu huu ambao hunifanya nijisikie furaha, furaha ya bday, upendo. Siku yangu haijakamilika ikiwa sitapata kuona tabasamu lako la ajabu; siku ya kuzaliwa ya ajabu kwako!

Hizi hapa sms nzuri za kumtumia mpenzi wako ili azidi kuongeza upendo juu yako.

Image
 Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba, napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupa mahaba yanayozidi shaba. Nakupenda. ................. ·  Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboni yangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea kutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu na karaha za huu ulimwengu .nakupenda dia

SMS NZURI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA UMPENDAYE.

Image
 Unajua nakupenda ila tu umeamua kunitenda rudisha moyo nyuma kisha twende sambamba mapenzi yanavyokwenda.  Mapenzi ni usanii ukiigiza utashindwa,mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana,mpenzi wangu usiniache. Penzi la kweli siku zote hudumu,penzi la kitapeli haliishi ugomvi,mpenzi wangu leo nimegundua nakukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya na bora,nisamehe .

Sms mapenzi motomoto

Image
 Unajua siri za moyo wangu, una ufunguo wa kufungua moyo wangu, na nina hakika hautapoteza kamwe au utatupa! Wakati mwingine kutazama uzuri wako kwa vitendo kunanifanya nishindwe kusema kabisa. Maneno yananiacha. Jambo pekee la kweli katika ulimwengu huu ni upendo wetu, ilinifanya nijisikie hai. Nakupenda mpenzi.

Message nzuri za mapenzi

Image
 *Siwezi kuamua ikiwa sehemu bora ya siku yangu ni kuamka karibu na wewe, au kwenda kulala na         wewe. Haraka nyumbani ili niweze kulinganisha tena hizo mbili. * Nimekupenda muda mrefu kabla ya mwanzo wa nyakati na nitakupenda hata wakati kumbukumbu zetu zitafutwa kutoka kwa uso wa Dunia.

Usiku mwema my love.

Image
    Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia. Wala si kimya kinachotawala mazingira, bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio, nakutakia usiku mwema.   KWA hakika nzi hufia kwenye kidonda, shujaa hufia vitani, siku zote mtalii hufia mbugani, mwenye mapenzi ya dhati si ajabu kufia kwa ampendaye, nimekufa kwako MPENZI

Nakupenda sana dear.

Image
 Mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila  kujali. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  Mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi ganiunanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako haliwezi futika.    NAKUPENDA 

SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI ULIEMKOSEA.

Image
Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu!  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•   Maneno million  haliwez kulirudisha pendo lako najua kwasababu nimejaribu,pia machozi million haliwez kulirudisha najua kwasababu nimelia. *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

sms za birthday

Image
 Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,  hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,  zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.  Happy Birthday mpenzi.  

Meseji za Tamu za Mapenzi Usiku mwema.

Image
 Wewe ni mng’arao machoni mwangu;Tabasamu la midomo yangu;Furaha ya uso wangu;Kwa sababu bila wewe, mimi sijatimia. **** Last night I matched each star with a reason for loving you. I was doing great until I ran out of stars. **** Mungu ni mwenye busara kwa kuwa hakubandika gharama yoyote juu yako mpenzi. Kama angelifanya hivyo, nisingeweza kuwa na uwezo wa kuwa na mpenzi wa thamani kama wewe.

Meseji za Tamu za Mapenzi.

Image
  Nimekutumia meseji hii kukuarifu kuwa nakufikiria. Natumaini kwamba hii dakika moja ninayokutumia meseji itasaidia kuwasilisha penzi langu moja la milele. **** Nipe nafasi moyoni mwako na si akilini mwako, kwa maana akili husahau kwa urahisi, lakini moyo hukumbuka mara kwa mara. Nakupenda. **** Nakutumia kitanda changu ili upumzike, mito ili kukuliwaza na blanketi langu ili kukupa joto.Kwa sasa siwezi kulala kwa sababu tayari nimekwisha kupa vitu vyangu vyote. Usiku mwema! Nakupenda.

MANENO MATAMU YA MAPENZI YA KUMWAMBIA MSICHANA

Image
   Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza  jinsi ya kutumia  maneno matamu . Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa moyo wa mwanamke. Lakini maneno matamu  hufanya vitu vya kushangaza sana , humtoa nyoka pangoni. Wakati wanaume wengine wanalalamika  ni jinsi gani ilivyo vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi sana , ni kwa sababu hawatumii  maneno sahihi. Watu wengi pia wanakosa maneno, wengine hata hawajui  wapi  pakuanzia  na wataanzaje,  ngoja tuanze na haya maneno yafuatayo, maneno matamu ya kumwambia  msichana. 1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa  la kufanya, lakini  yananifanya nipotelee kwako. 2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye  penzi letu. 3.Unaonekana mzuri kama malaika,  nahisi nikikushika nitakuchafua. 4.Napatwa na woga ndani ...

SMS NZURIII

Image
* Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi pek *Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si mtumaji.

ZIJUE TABIA HIZI ZA MPENZI ASIE NA MAPENZI YA KWELI.

Image
  Ifahamike kuwa hakuna asiyehitaji mapenzi ya kweli ingawa kuna wapenzi wanaothamini penzi kwa mwenzi wake anapokuwa na pesa au kazi Fulani na baada ya hapo hujitoa katika mahusiano hayo hali ambayo huleta kwikwi katika mtima wa moyo wa anayefahamu kupenda. 1…MUONGO. Hakuna asiyefahamu athari za mtu muongo katika jamii, vivyo hivyo ndivyo ilivyo katika mapenzi uongo ni sumu mbaya na nidalili moja wapo ya kuonyesha kuwa mpenzi wako hana penzi la dhati nawe na huyo aweza kukuletea athari za kufikiri hapo baadae endapo hautakuwa makini nae. Hivi utajisikiaje Mpenzi wako akigundua kuwa ulikuwa ukimdanganya na hatimaye yeye akajua ukweli wa suala ulilokuwa ukimpiga fiksi? Lakini ushauri wangu si kumuacha bali jaribu kumshauri kwa hekima na akiendelea na tabia hiyo ujue kuwa hana mapenzi ya kweli kwako. 2..KUPENDA SANA PESA. Ukiona mpenzi wako wa kike ama kiume anapenda sana kupata pesa kutoka kwako tambua ni moja ya dalili ambazo zinajieleza kuwa hana mpango nawe bali analazimika kuwa ...

SMS fupi ya kuzaliwa kwa mpenzi.

Image
*Umekuwa na jukumu muhimu katika hadithi ya maisha yangu na ninakushukuru sana kwa hilo. Miaka mingi zaidi ya uzuri, umaridadi na darasa na wewe. Natumai siku yako ya kuzaliwa ni ya ajabu sana. *Nakutakia mwaka uliobarikiwa na mzuri sana uliowekwa na mafanikio, afya njema, hekima, ulinzi na, kwa kweli, uzuri zaidi. Tafadhali chukua muda kufurahiya siku hii. Heri ya Kuzaliwa.

Meseji za kumuomba msamaha mpenzi wako

Image
Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu! Tukae kimya sheteni apite, naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa sheteni ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu! Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear!

SMS nzuriiii ya kumpa mtu hai.

Image
Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI, Usione najidai, ila mimi naringia UHAI, Haya basi pokea HAI, ili moyo wako ufurahi. HAIIIIIIIIIIIII!!!  Asante sana kwa kugusa maisha yangu kwa njia ambazo huwezi kujua. Utajiri wangu haumo katika vitu vya kimwili bali kuwa na marafiki kama wewe. Tunaweza kupoteza kitu kizuri kila wakati kwa mtu mwingine, Lakini hatupaswi kupoteza mtu mzuri kwa kitu, kwa sababu maisha yanaweza kurudisha kitu lakini sio mtu huyo!

Usiku mwema.

Image
Ninaposema usiku mzuri, kwa kweli ninataka uwe kijana mzuri usiku. Kwa hivyo usifikirie juu ya msichana yeyote isipokuwa mimi. Usiku mzuri. Hei mzuri, ingawa mimi ndiye mzuri katika uhusiano wetu, lazima ujitunze pia! Nenda kulala sasa hivi!  Usiku Ni “utulivu” Usiku Ni “mzuri” Usiku Ni”upole” Usiku Ni “kimya” Lakini Usiku Haujakamilika Bila..Kukutakia Wewe.. U S I K U=m=w=e=m=a

SMS ZENYE UJUMBE MZURI

Image
Why do birds fall from the sky every time you walk by? Maybe because like me they want to be near you! **** Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane **** They say as long as at least one person cares for you, life isn't a waste. So when things go terribly wrong, and you feel like giving up, please remember you still got me. **** Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi na mapenzi huanza na mimi na wewe.

UKO WAPI MPENZI NAKUHITAJI.

Image
  Uko wapi, nikufuate Niambie nipajue Angalau nikuone Roho yangu nitulie Uko wapi, nikufuate Niambie nipajue Angalau nikuone Roho yangu nitulie Najauliza kila siku wapi pa kukutafuta Ni miaka mingi sana hatujaonana Napata shida sana Nataka niwe nawe Nakupataje pataje, nawe huonekani Uko wapi, nieleze Tafadhali niambie Hata kwa barua pepe Au simu ya mkononi Roho yangu itulie Roho yangu itulie

MAMBO YA KUFANYA UKIKUTANA NA EX WAKO.

Image
Kuwa muwazi kama upo tayari kuongea na ex wako mkikutana, akuulizapo swali lolote mjibu inavyotakiwa kwa majibu mafupi yasiyo ya kubabaisha yenye ukweli mtupu. Kama ni ndiyo 'ndiyo' na kama ni hapana 'hapana' itakufanya kujenga utu wako na kukupa kujiamini. 1. USIJITONGOZESHE kama umeshaachana na mpenzi wako mpya kwa   sababu ya huyo mpenzi wako wa zamani usifanye mambo ya kujitongozesha kama vile kukaa naye karibu kumchekea chekea au kumtega kwa namna yeyote ile kama ikitokea bado unampenda muache yeye akuanze na umsumbue katika kumjibu kwa sababu kama mlishaachana huna hakika lile kosa halitajirudia mkirudiana. 2. KUWA NA MAWAZO CHANYA wengi wanapokuwa pamoja na wapenzi wao waliopita hufikiria negative hujiuliza anawaza nini? Ananiona mbaya? Vipi kama anakuja kunionesha mpenzi wake mpya? Haya ni maswali machache yanayowapitia wengi vichwani mwao. Lakini kama ukiwa na mawazo chanaya unaweza kujiamini na uwezo hata wa kumface huyo mpenzi wako aliyepita kwa hiyo uwapo na...

MANENO MATAMU YA KUMWAMBIA MAPENZI WAKO

Image
1.Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua. 2.Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha. 3.Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi.

ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.

Image
 Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala sibadiliki hilo kwangu ni muhali, si kmsikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu sirafiki ni ndugu nnaekujali ……… Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona huniondoka machungu tabia zakomwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona mwambie ww ni wangu …….

Hongera sherehe kwa mwenzi wako.

Image
 Heri ya siku ya kuzaliwa mpenzi wangu, kila kitu kikubwa katika ulimwengu kinafaa katika mwanga wa taa, kama maisha katika sekunde ya milele ikiwa nipo na wewe. Njoo kusafiri na mimi kwenye siku yako ya kuzaliwa kutoka mwisho hadi mwisho, njoo kuchunguza mwili wangu, milango yangu na madirisha yangu, na uje kuchunguza tumaini langu, ili uweze kuanza asubuhi ya leo hapa kwenye kifua changu.

Mapenzi ni matamu sana

Image
 Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema

Image
“””””Yule””””” Anipendezae lazima nimkumbuke”” “”nimpe salamu “”moyo”” wangu “”uridhike”” “”Nimuombee kwa MWENYEZI “”MUNGU”” mabaya yamuepuke”” “”na kila lililo la kheri kwake lisiondoke”” “”nakutakia”” “ucku mwe ma” Hei babe, wewe ndiye msichana mrembo zaidi ulimwenguni machoni pangu lakini sitaki uwe na duru nyeusi karibu na macho yako! Lala usingizi mkali! Kila siku mimi huishia kuwa mraibu kwako na sitaki kabisa kuachana na uraibu huu uliogunduliwa kwani huniletea furaha kwamba ninaweza. fikiria. Usiku mwema uraibu wangu!

FAHAMU | MBINU ZA KUMUOMBA MSAMAHA MWENZI WAKO PALE UNAPOMKOSEA

Image
Marafiki zangu kukosea katika maisha ya binadamu ni kawaida. Ni sehemu ya maisha yake. Tena inaaminika kwamba, kukosea ni kujifunza, maana kosa utakalofanya leo ni funzo la kesho. Hii ipo pia hata katika uhusiano na wapenzi wetu, mara kadha wa kadha tumejikwaa na kuwakosea. Hakuna cha ajabu. Ni kawaida kabisa, lakini jambo la msingi hapo ni kwa namna gani tunajifunza kupitia makosa. Ni kwa jinsi gani tunamaliza tofauti hizo. Maana unaweza kuwa hodari wa kukosea au ukawa bingwa wa kusamehe, lakini wimbo huo ukaendelea kubaki hivyo hivyo kila siku. Lakini pia, wapo ambao kwa bahati mbaya, bila matarajio yao, wanajikuta wakiwa wamewaudhi wapenzi wao. Ni bahati mbaya na yawezekana kabisa wanaumia sana mioyoni mwao, lakini wakashindwa jinsi ya kumaliza ‘bifu’ hilo katika penzi lake. Siku zote mkosewa hukosa raha, hupoteza hamu ya kukutana na mpenzi wake lakini kubwa zaidi, hujishusha/hukushusha thamani ya mapenzi yake kwako. Lakini mkosewa huyo huyo, akioneshwa kwamba makosa yaliyofanyika h...

SMS NZURI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA UMPENDAYE.

Image
 Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear! ***** Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!

JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE KWA ISHARA YA MACHO.

Image
  Mwanzo mchezo wa kutumia macho kama mbinu ya kutongoza huwa ina raha yake kiasi flani. Uzuri wa kutumia mbinu hii ni kuwa ni rahisi kufahamu kiwango gani mtu amevutiwa nawe bila kuwauliza kuwatoa out. Pili ni kuwa uzuri wa kutumia mbinu hii ni kuwa unamjulisha unayemzimia na mapema ya kuwa umewavutia hivyo kujitayarisha na mapema iwapo watakubali kufanya maongezi na wewe. So ni mbinu zipi hizo unazoweza kutumia kumvutia unayempenda bila kuonekana kama fala? Njia za kutongoza kwa kutumia macho Utafanya nini iwapo umemuona yule aliyekupendeza katika mkahawa ama katika party ulioalikwa na marafiki zako? Kama hujui la kufanya basi tumia macho yako kumtongoza ili kumfanya avutiwe nawe kiurahisi. Fanya kutumia mbinu hizi 10 tulizoziorodhesha kupitisha ujumbe wako mara moja. 1. Mwangalie mara kwa mara kikawaida Umemuona yule aliyekupendeza? Fanya kumuangalia mara kwa mara kikawaida. Itafikia mahali flani pia yeye atanotice ya kuwa umekuwa ukimuangalia kwa muda hivyo utaiteka atenshen ya...

Nimekukumbuka mpenzi sana.

Image
  Mtu wa kumkumbatia, mtu wa kumbusu, mtu wa kuzungumza naye, mtu wa kubembeleza.         Mtuwakunifanya nitabasamu, mtu wa kunichekesha, wa kupenda, wa kunifanya nijisikie vizuri.         Ninapenda kukumbatia lakini sipendi kuachilia. Ninapenda kukusalimu lakini sipendi kusema                 kwaheri. Ninapenda kukutazama ukija kwangu lakini nachukia kukuona ukiondoka.                                 Ninakukosa rohoni.

Nisamehe mpenzi wangu sikukusudia kweli.

Image
Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear!  Mimi kwako ni kipofu, nishike mkono tuvuke barabara, magari ni mengi na yanapita kwa kasi, siwezi kuona zaidi ya kusikia yakiunguruma, honi za magari siwezi kupima umbali wake, usiniache katikati ya barabara nitagongwa na kufa mara moja! Njoo niokoe nitagongwa mpenzi wangu! Forgive me dear.

Je utanipenda.

Image
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota.

MANENO MATAMU YA KUMBEMBELEZA MPENZI WAKO.

Image
                                  Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! “NAKUPENDA MALAIKA WANGU”

Mchana mwema mpendwa.

Image
 Mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirisha pale unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?       •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatia na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo ,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?

Nimekukumbuka mpenzi wangu.

Image
Sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Kamwe siwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo mwangu siku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!

UTAMU NA UBAYA YA WANAWAKE WANENE.

Image
"Lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha kuna x na kuzidisha” . Si maneno yangu hayo ni maneno yake Diamond Platnumz kwenye wimbo wake wa  NITAMPATA WAPI  vivyo hivyo katika sifa za binadamu zipo hivyo tumetofautiana kitabia kulingana na maumbile yetu. Leo katika Kona ya Mahaba tumekuandalia faida za Mwanamke Mnene katika mapenzi ili upate kutambua thamani ya kila mmoja na utambue kila kitu kipo kwa makusudi na si kwa bahati mbaya;  Hivyo utamu wa mwanamke mnene hutokana na vitu vifuatavyo karibu twende sawa uzitambue kwa usahihi sifa na tabia za mwanamke mnene. Wepesi wa kusamehe Mwanamke mnene mara nyingi huwa ni mwepesi wa kusamehe pale anapokwazwa na mtu; hapendi kuweka vinyongo moyoni. Wanapenda kuomba radhi Wataalamu wa mahusiano wanasema wanawake wenye maumbo makubwa wanasifa ya kuomba radhi pale wanapokosea. Wanatulia kwa mwanaume mmoja Takwimu zinaonesha wanawake wanene sio viruka njia; mara nyingi hutulia katika mahusiano na kudumu na mwanaume mmoja...

Nakupenda mpenzi wangu.

Image
 Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne.  1/ KUNIJALI, 2/ UPENDO 3/ FURAHA 4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na  kufurahi sana. ………………………. Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! Ni kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO? ……………………..

Heri ya siku ya kuzaliwa mpenzi wangu.

Image
 Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi.  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, 

HERI YA SIKU YA KUZALIWA MPENZI WANGU.

Image
    Watu wengine wamezaliwa na sura nzuri na wengine wamezaliwa na akili nzuri. Kwa bahati mbaya, wewe si wa yeyote kati yao! LOL! Furaha ya kuzaliwa! Heri ya kuzaliwa, mpenzi wangu. Siku hii maalum inapoibuka tena, nataka ujue kuwa wewe ni maalum kwangu na ninakutakia mambo bora tu maishani. Acha kila wakati upite kwa furaha na ubaki kuzungukwa na wanaokutakia mema.

I love you baby.

Image
 Mahaba unayonipa natamani niwe nawe mpaka kufa, kila siku zinavyozidi kupita najuta kwanini nilichelewa penzi kukupa, nakupenda na nitakupenda hadi kufa!  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•  Hivi ni lini penzi utanipa, nimechoka na ahadi unazonipa kila kunapokucha, tambua kwako nimefika na siku utakayonipa zawadi nzuri nitakupa na hutanisahau hadi kufa. 

Sms za usiku mwema.

Image
Hakuna kitu kinachoweza kuchukua nafasi yako ya thamani maishani mwangu isipokuwa kulala vizuri usiku. Niko mbali nayo, unafanya hivyo pia. Upendo yaa. Ndoto nzuri.  Kukutumia kitanda changu kukuruhusu upumzike, mito ya kukupa faraja na blanketi langu ili kukupa joto. Siwezi kulala sasa kwani sina kitanda! Usiku mwema! 

Mchana mwema mpendwa.

Image
*Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu. *Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane.

SMS ZAKUMTAKIA SIKU MCHANA MWEMA SWEET WAKO

Image
Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKUOMBA USINIACHE MPENZI                                                    Wewe ni wapekee ninaye kupenda sifikirii kukusaliti na wala sina wazo La kukutenda nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu

Zijue aina tano za mahusiano ya kimapenzi.

Image
Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya kimapenz ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika kipindi flani cha mahusiano yao. Lakini kabla hatujaangalia hizi aina lazima tujue kuna vitu vitatu vinavounda na kudetermine ni aina gani ya mahusiano ya kimapenz watu wako nayo kwa mda huo. Kuna kitu kinaitwa TRIANGULAR THEORY OF LOVE yaani Intimacy,Commitment na mwisho kabisa ni Passion. Ntajaribu kuelezea kwa ufupi kila kimoja kabla sijaingia kwenye point ya msingi yenyewe.    . Intimacy. Hii ni hali ya kuwa karibu kihisia na mpenz wako,Kuna hali flani hivi hutokea yaani unakuta mnashare the same feelings.Sijui ka ishakutokea unataka tu kumpigia simu mpenz wako ghafla unakuta naye anakupigia,nafsi zenu zinakuwa zinaongea na unajikuta unachowaza wewe ni sawa cha mwenzi wako. Commitment. Hali ya mtu kuhakikisha uhusiano na mpenzi wake unabaki salama hata iweje.Mtu hapa anaweza kuwa katika uhusiano lakini asiwe committed kwa lolote kuhakikisha uhu...